Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

Ishu ni udalifu kwa namna yeyote ile.
 
Cc: Dkt Juma Mwaka, Haji S. Manara, Homonize Single Again, etc wengine ongezea
 
Mie mwanaume siangalii dini naangalia pesa tu na matunzo Huna matunzo pita hivi mtaongea huyu ni Malaya ila Kwangu imeisha hiyoo
Naona umeshajipa jina watakalo kuita ILA
kwa nini usiwazie kutafuta hela za kwako ili uwe na uhuru, una wazia kupewa hela za kuhongwa ambazo zinakukosesha uhuru?
 
Naona umeshajipa jina watakalo kuita ILA
kwa nini usiwazie kutafuta hela za kwako ili uwe na uhuru, una wazia kupewa hela za kuhongwa ambazo zinakukosesha uhuru?
Usijali hata ukimsaidia mwanaume Kwa kila kitu hili jina hulikosi kulisikia kabisa so hata nikiwa na zangu pesa lazima nipate mwanaume atakayenipa matunzo sio lazima uolewe na vichwa vigumuu
 
Huu ndio utumwa Sasa sio kuolewa ila jua hili nitampenda yule anayenijali
 
Wazungu husema; Jitahidi kupenda mtu anayekupenda na sio kupenda mtu kwa sababu ya mali zake; kwasabu mali zitaisha ila yeye atabaki.....hapo ndio utajua hujui.....
Huwezi kufungua moyo sehemu ambapo hujaliwi hakunaga mie ukinijali ndio utaona nakujali
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
 
Waislam wapi Labda Hawa kina Dr Mwaka Au kina Haji manara au Ndo kina Mondi de platnmuz.
 
Yeye Kaongelea Uaminifu/ Uadilifu, Hajaongelea Talaka wala kuongeza Mke.
Na Kasema Kuwa wanaihofia Zinaa.

Kuhusu Kuongeza mke wa Pili, Dini yake inamruhusu. Kutokuhudumia Hiyo ni Mada nyingine haina mahusiano na alichozungumza Mwanzisha Uzi.
Wanapindiaha ukweli ndo maana nimeamua kuwaacha.
Nimeongelea asilimia kubwa ya waisilamu wanaume wanaikataa zinaa waziwaz tofauti na wakristo...wenyewe wanapindisha wakati ukweli wanaujua kabisa
 
Kwa kuwa umesema "wengi wao", sawa! Inaweza kuwa ukweli.
Lakini..............,Mh
 
Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima.

Masai dada! Basi sawa[emoji23]
 
Waislamu balaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waislamu wa nchi hii hii ya Tanzania? Hawa talaka mkononi?
Hawa kesho yake tu unasikia kaongeza mke mwingine na kukuhudumia hakuhudumii?

Itakuwa umeota.
Kaota ana kojoa kweli huyu[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…