Wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi wao kwasababu ya vimada

Kama walituzaa bila kujipanga watajua wenyewe
 
Hongera mkuu umebarikiwa ila katika cycle yako labda mliokuwa pamoja ni wangapi Wana uwezo wako? Wengi bado Maisha ni ya kudunduliza sana...
Kw hiyo wewe ulifanya hivyo sababu una nafasi ila kwa wengi akizaa watoto nane kuwahudumia si kazi ndogo.
 
Big up kwa hili na Nina imani familia yako na mumeo inaenda vizuri.
 
Huo ni upumbavu
 
Halafu ukute bado mke hakuonei huruma, dharau na kiburi bila ukomo
 
Sasa hapa umeongea kama baba au mume mwenye mke DeepPond
 
Hao vimada si ndo wanachukua hela zetu wanapeleka kwa wazazi wao, ndo maana mdada wa mjini mshahara laki 2 ila home inapelekwa hata laki 5
 
Makinika kuna HATARI Zaidi pia hapo!

1.Atakapo ridhika na PESA za mke akabweteka kifikra utamuomba Mungu tena si Ndio? au utamkemea!?

2.Mtaji wa Biashara uliompa usipofanya vizuri utampa tena Mtaji au utaacha!!?

Epuka kumpa Mtaji BINAFSI wa Biashara zaidi Sana mfungue Biashara ya pamoja ya familia aisimamie na sio BINAFSI!Mwanamme mwenye Mtaji na PESA ana majaribu take makubwa tofauti na asie na mtaji!

Hekima nyingi za mtu zinatokana na msoto sio kama za mfalme suleiman aliekua tajiri wa asili!!!

Imani isizidi AKILI!

KILA la kheri!
 

Mm aisee nikioa 50/50 akipokea mshahara tunaupasua vzr tu mamb ya divorce tunaanza kugawana mali akt yeye alikua anafua tu nakupika hapana aisee lazma hela yake itumike ipasavyo
 
sio kweli, wanaume wengi wanashindwa kuhudumia wazazi kwasababu ya kujitoa kikamilifu kuhudumia familia ( watoto na wake zao) watoto wakike wanamudu kuhudumia wazazi kutokana na ubinafsi wao, familia wanaweza kulala njaa ila mwanamke ana mapesa kwenye mkoba wake hatoi hata mia atawatumia watu wa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…