Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Halafu wanaume wa hivi ni wanene wana vitambi na matiti.

Hivyo homoni ya kiume ijulikanayo kama testeteroni imeshageuka na kuwa ya kike, kwa hiyo wana homoni za kike ; so lazima wawe na wambea.
 
Inaanzia mwanamke mpaka akusimulie bifu zake na wanawake kashakuona mchele mchele .mm hata nkikaa out na rafiki zake huwa sichangii mada za kipuuzi kifupi hadi huwa wanamuuliza jamaa hivi huwa anapiga stori kweli?
Safi sana
 
Hivi neno kuchamba au kuchambana ni rasmi?Na je kama ni rasmi asili yake ni ipi,na je nikitaka kumwambia mzungu kuchamba Kwa lugha Yao nisemeje?Sorry wakuu najua nipo nje ya Mada bt I need some answers.
Sidhani kama ni rasmi hilo neno. Ni maneno ya uswazi tu mkuu
 
Eti mwanaume pesa unaonyesha jinsi gani ulivyokuwa mwanamke mjinga ,wivu unakusumbua ,A MAN HAVE TO PROTECT HIS TERRITORY
Unaprotect territory yako kwa maneno? Tengenezea familia yako maisha bora uone kama watakutana kwenye mambo ya kusutana.

Akiletewa shida na mtu hamna haja ya kusutana ni kupelekana tu kwenye sheria. Sasa wewe unaenda kumsaidia mke wako kusuta maadui zake badala ya kumtengenezea mazingira ya kuepuka hayo na unaona upo sawa. Unaenda kumsaidia mke wako kusutana kumbe chanzo cha ugomvi ni wameibiana hata wanaume.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Achana na hizo takataka mkuu, hayo ni mashangingi yaliyoshindikana mtaani.

Mwanamke mwenye kujiheshimu na mwenye stara hawezi akaandika upumbavu kama huo.
Ila mwanaume anayejiheshimu anasutana na maadui wa mpenzi wake? Mwanaume anayejiheshimu ni mbea?πŸ€”
 
Muulize mke wako vizuri chanzo cha ugomvi wao usikute na mke wako ameiba mume wa huyo single maza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itakuwa version ile ya wapaka makeup, watoboa pua, na masikio,wavaa vikuku hasa huko daslam sie huku kijijini tunashinda shambani huo muda wa umbea na kusutana twatoa wapi.
Hao walojaa Dar wengi ndiyo hao hao walokimbia kushika jembe vijijini wakaenda kuongeza population kwa kisingizio chakutafuta maisha wakikosa ndiyo haohao wanakuwa marioo, wambea mpaka kusukumwa mavi kwa kulivamia jiji ovyo 90% walojaa dar sasa ni wageni wenyeji washakimbia.
 
Sasa Mwanaume anamwachaje mkewe atukanwe?
kwahiyo hamna namna nyingine ya kumlinda mpenzi wako zaidi ya wewe kwenda kutukanana? Ndio maana mnalalamika wake zenu kutokuwaheshimu. Hauwezi kushiriki kwenye udaku na misuto na mke wako halafu ukaheshimika.

Kuna hiyo moja mtu na mpenzi wake walienda kumsuta mtu. Wakaitiwa police wakabebwa wakawekwa ndani. Ni aibu sana jamani, mapolice wa kike walimsagia kunguni yule mwanaume.
 
Umesema kweli. Hamna mwanaume ambaye anajishuhulisha halafu akapata muda wa kuwa mbea. Wanaume wenye maneno mengi ni ma jobless na hawataki kazi ndio maana wanapata muda wa kujifunza misuto mipya mipya .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…