Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Hakika umenena vyema siku hizi wamejaa sana mijini kuja bila plan wakati sisi tushaona jiji la biashara tunaenda huko mashambani kuwekeza wanapopakimbia tukirudi mjini ni kuja kuleta bidhaa wao wanakuja mikono tupu unategemea nini kama si ndiyo hao hao wanaishia kuwa gays nakulichafua jiji.Umesema kweli. Hamna mwanaume ambaye anajishuhulisha halafu akapata muda wa kuwa mbea. Wanaume wenye maneno mengi ni ma jobless na hawataki kazi ndio maana wanapata muda wa kujifunza misuto mipya mipya .
Na unakuta habari zako wanazijua kuliko unavyojijuaNdio wamejaa wanakutusi wanakujeli wanakutolea shombo yaani hadi aibu sana
π€£π€£π€£π€£ Ila wewe bro miyayushoSingle mama yule hana mume anadanga tu. Chanzo ni yeye kamsema vibaya wife kwa majirani baada ya wife kuzipata habari tukaenda kumpelekea salamu, tumemchamba hadi wapangaji wenzie wamemcheka
π€£π€£π€£π€£ππSiwezi vumilia kuona kipozeo changu anasutwa na mimi nipo tu, lazima nikusute na uzodoke sawasawa.!!!
Hivi na wife tumetoka kumsuta single mama mmoja hadi amenyooka, nimemwambia unanuka K hadi mwenyewe kalegea maana nishampitia miezi kadhaa nyuma, ila nayeye kasena nina kibamia.. nimemind lazima nimrudie kimyakimya
Udugu huyo jamaa kanichekesha π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna jipya mdogo wangu yote ni marudio tuYani mi nataka kujifunza kitu kipya tu basiπππ
πHakuna jipya mdogo wangu yote ni marudio tu
Nilijua tu lazima nikukute huku ππ€£π€£π€£π€£ππ
Ila umedoboka haswaaa!! Eee mwaya wazodoe wakukome km hawataki kusutwa basi watulize mishono.
Halafu hata humu wapo wanaowasaidia baby zao na wana vigroup vimejaa wasengeee tupu!!! Na mibabu na mijimama imejazana kuzogoa umbea.
Tena habari nzito nzito unashangaa umepewa mabwana kumi humu ambao hujawahi kuwaona kwa uso wa nyama!!Na unakuta habari zako wanazijua kuliko unavyojijua
Ila wewe!Tena habari nzito nzito unashangaa umepewa mabwana kumi humu ambao hujawahi kuwaona kwa uso wa nyama!!
Wengine wanajisifia nimepita naye Mxieeeeww afu jitu hujawahi hata kuliona?!!
JF wanaume wambea mno na kupenda misifa ya kijinga
Tukiwapa spana kama hivi watabadilika kiukweli wanabooooa sana na miandiko yao ya kinafikiTena habari nzito nzito unashangaa umepewa mabwana kumi humu ambao hujawahi kuwaona kwa uso wa nyama!!
Wengine wanajisifia nimepita naye Mxieeeeww afu jitu hujawahi hata kuliona?!!
JF wanaume wambea mno na kupenda misifa ya kijinga
Yani wewe umeamua unifollow kabisa uone hekaheka zangu ππππNilijua tu lazima nikukute huku π
Kweli bro humu kwa kiwaki sana!!Ila wewe!
Ukiwapa spana wanakuitia mods wakupe ban π€£π€£π€£π€£Tukiwapa spana kama hivi watabadilika kiukweli wanabooooa sana na miandiko yao ya kinafiki
Hivi huku hakunaga za follow me back πYani wewe umeamua unifollow kabisa uone hekaheka zangu ππππ
Huku lazima niwepo hizi story za kijiwe nongwa muhimu!!! Na ningechelewa ungenitag najua
Wanaocharuana humu wengi wanajuana na waliwahi kushare vikojoleo na kila mmoja anahisi ana hati miliki ya kikojoleo cha my wao π€£π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈSasa mnacharuana watu hamjuani kwa sura wala majina! Hakika ujana ni maji ya moto
Ndioo ni kweli ila upande mmoja hawatujui ni huu tu mioyo,maono yetu na mawazo yetuNa unakuta habari zako wanazijua kuliko unavyojijua
Hata sielewi hii yako nimeona notification umenifollow hata sijui kwanza wengine walionifollow πππHivi huku hakunaga za follow me back π