Wanaume wenye tabia ya kuingilia maugomvi ya wanawake zenu kwa kuwasaidia "kusutana" mnakera

Tulingiliaga ugomvi mmoja kilichotukuta ni aibu, nilimkuta dada mtoto wa mwenye nyumba kang'olewa meno ya mbele karibia yote na kupasuliwa kichwani. Familia ilichukua rb tukaungana na wapangaji kumsaka jamaa mji wote tukiamini kwamba hii haikubaliki lakini huwezi amini siku2 tu baada ya tukio jamaa karudi hm na demu wake maisha yanaendele na jamaa yuko ukweni.

Oya wakigombna wapenzi kaa mbali
 
Kumbe kweli sisi pipo tutaonana 😆
 
tatizo ni pale mke na mume mnapokuwa mabest, mmoja hawezi kumuacha mwenzake apambane mwenyewe lazima atoe assist au anunue ugomvi.
 
Kantry umeona mwenzio anavyopambania kipozeo chake 🤣🤣🤣
Countrywide
 
Single mama yule hana mume anadanga tu. Chanzo ni yeye kamsema vibaya wife kwa majirani baada ya wife kuzipata habari tukaenda kumpelekea salamu, tumemchamba hadi wapangaji wenzie wamemcheka
Mkuu hapo umejitia aibu wewe na umemuaibisha mke wako pia.
Mwanaume haupaswi kurushiana maneno na mwanamke. Tena sio mwanamke tu, mwanaume haupaswi kurishiana vijembe hata na mwanaume mwenzako.
Maneno maneno ni mambo ya wanawake. Mwanaume yake ni vitendo tu.
 
Sasa mnacharuana watu hamjuani kwa sura wala majina! Hakika ujana ni maji ya moto
Wapi hawajuani mkuu? wa mtaani mbona wanajuana kabisa. Ambao hawajuani labda wa mitandaoni.

Kwa mitandaoni kugombana na mtu ambaye haumjui zaidi ya kumwona mtandaoni ndio mbaya zaidi.
 
Kama ni wanawake kwa wanawake hiyo nafuu acha wapiganie utamu. Shida ni pale mwanaume unapoingilia ugomvi wa namna hii inafikirisha.
 
Pole mkuu, Ya watu wanaojifunika shuka moja sio ya kuingilia kabisa
 
Kama ni wanawake kwa wanawake hiyo nafuu acha wapiganie utamu. Shida ni pale mwanaume unapoingilia ugomvi wa namna hii inafikirisha.
Sasa hapo kwenye ugomvi wa wanawake ndio zinapotokea team zikiwa na wanaume ndani yake!!!
Sasa swali la kujiuliza, wale wanawake wanagombania mkia wa my wao!! Je, ile midume mashost zao wanagombania nini?!!
Madume mengi yanapenda urafiki na wadada na ndo wachochezi wakubwa wa ugomvi humu!!
 
tatizo ni pale mke na mume mnapokuwa mabest, mmoja hawezi kumuacha mwenzake apambane mwenyewe lazima atoe assist au anunue ugomvi.
Unajua wanaume wanaojitambua kwanza hawapendi wanawake zao wagombane gombane ovyo. Hata kama wakichokozwa mume msaada anaoweza kuutoa ni kumsapoti mke wake kisheria.

Ndio maana wanaume wanaojitambua hauwezi kuwakuta kwenye haya mmbo japo wanawapenda wake zao sana.

Mke wako akiletewa shida na mwanaume nenda kapambane na mwanaume mwenzako ila sio anasutwa na wewe unaenda kusutana.
 
Ukiwapa spana wanakuitia mods wakupe ban 🤣🤣🤣🤣
Tena wanaenda kuwaita na mademu zao wanasaidiana kukureport, wapuuzi kweli!!
Halafu na ban ndo hupewi aibu inabaki kwao,, utawakuta kakundi kamejigawa wa kuchochea na wale wa kujifanya kumpoza😂humu kuna imbwa hazina akili
 
Kama ni wanawake kwa wanawake hiyo nafuu acha wapiganie utamu. Shida ni pale mwanaume unapoingilia ugomvi wa namna hii inafikirisha.
Hata mie wanawake kwa wanawake naona poa tu tena wakigombania utamu fresh tu wao ndo wanajua ladha ila dume kuingia kwenye huo mkumbo unajiuliza hivi hili linaujua utamu wa hilo 🍆 linalogombaniwa
 
Inafikirisha sana ujajiuliza na huyu anasutana anataka nini. Ndio maana mwanaume haupaswi kuungana na mpenzi wako au hata rafiki yako wa kike kusutana na wanawake wenzake.
Maana ukija kujua chanzo cha ugomvi wao utajiona mjinga sana
 
Halafu na ban ndo hupewi aibu inabaki kwao,, utawakuta kakundi kamejigawa wa kuchochea na wale wa kujifanya kumpoza😂humu kuna imbwa hazina akili
Inawaumaga hiyo 🤣🤣🤣
Kuna siku waliniundia tume wakamleta mtu anitukane nimjibu wanireport! Yani humu kuna majinga mengi.
Na yule uliokuwa una amka da siku ile ndio michezo yake ni admin wa group Lao la mafichoni 🤣
 
Hata mie wanawake kwa wanawake naona poa tu tena wakigombania utamu fresh tu wao ndo wanajua ladha ila dume kuingia kwenye huo mkumbo unajiuliza hivi hili linaujua utamu wa hilo 🍆 linalogombaniwa
Ndio maana hata wake wenza wengi hawapatani. Huo utamu kila mmoja anataka yeye aumiliki pekee yake.

Ila mwanaume kuingilia na kujadili hayo mambo ya nani anagombania utamu na nani ni ujinga, Kwanza vya kugombania ndio vitamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…