Ndioπ€£Wanajisema kwahiyo?
Namba Moja..πππKunifundisha majukumu yangu.. (Naelewa nachofanya)
Kauli... (Kuna kauli fulani ukiongea tu najua ni redflag hii)
Uvivu wa kijinga.. (Kuna mmoja alikuja geto.. kalala asubuh nimeamk wa kwanza namuandalia chai yeye kalala tu hata ashtuki.. nimemtengea kitandani.. akala.. vyombo kaniachia)
Kutanguliza pesa mbele.. (Mwanamke mkimya ambae haombi ombi hela huwa anakula hela zangu sana , kuliko mjuaji/ombaomba)
Mimi kilaza hohehahe fukara ndo unanitegemea? Huu unafki huu. Mimi ni comedian tu basi.Nakusalimu dogo, umepunguza speed kwenye ule mchongo wetu. Au unanizunguka?
Ooh hao ni matom boymimi ugumu naousemea sio wa kuingilika ni ule wa kimwonekano, kama anataka kila kitu awe like a man, ila unakuta mdada ana base ila she sounds kiuanawake ama anatembea kwa kudunda ila ana sauti ya kike
me nasemea zaidi hao wanaojiona washkaji wenzetu
Sio pigo zangu hizoUtakua ushamaliza kulipa deni
Nilitaka nijiwelke ili upate shemeji naona mambo yameharibikia njiani yani asivyovipenda ndo mambo yangu yooteDuhh cheusiπ€
Mambo ni mengi, haya endeleeni kutiririka tujionee mamboπ
Yeah..Namba Moja..πππ
Ya Nini tena mawaxing hayo, ..Aache hivyohivyo, asiondoe utamu huo..kafanye waxing, au njoo nikulipie af utanilipa vikiisha
Basi tajiri siku ya kwanza mpe hivyo vigezo vyako..maana wengine hawayawezi.Yeah..
Unakuta Manz ananielekeza namna ya kumpenda / kumhudumia.. et uwe unanip hela ya this and this.....
Unajua kuna Wanawake wana akili ndg sana.. mie huwa nauliza tu, je wewe ukitoa sex unanipa nini au unaongeza nin ktk maisha yangu? Majibu hakuna.
Unamjuaje huyo? Maana kila mtu zna namna yake ya kusema fulani ni malayaMimi nikishaona demu ni malaya habari inakua imeishia hapo.
Shemeji ndio hataki vinyweleo na harufu za ajabuajabu! Mama kasugue tu kwapa nipate shemejiπ€£Nilitaka nijiwelke ili upate shemeji naona mambo yameharibikia njiani yani asivyovipenda ndo mambo yangu yoote