WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

Nimekuelewa..
Wengi sana hujikuta ni wasagaji..
Na Moja Kati ya Factor kubwa ya mapenzi ya jinsia Moja, ni kwamfano mtu mwenye Swagger kupenda sana Kijihusisha na michezo/Career ambayo nature yake ni ya kiume mfano ya kutumia nguvu kama Soccer ⚽, Basketball n.k hujikuta wengi ni wasagaji kwasababu Psychologically na naturally ni ya kiume kwa hiyo anajikuta anakuwa na mahusiano na wanawake wenzake..
Sio wote ila kwa asilimia kubwa (Wengi ni mashahidi hata kama hawajitangazi hadharani lakini tunajua wanamichezo wengi wa michezo hiyo ni Wasagaji)

Vivyo hivyo hata kwa wanaume wanaojihusidha na masuala ya mitindo/Modelling na wabunifu wa mitindo nao hujikuta wengi ni mashoga kwasababu mambo ya mitindo naturally ni ya wanawake kwa asilimia kubwa..

Sio wote, lakini kwa asilimia kubwa chinguza vizuri kwa wakati wako utakuja nipa majibu..
na wewe unajiweka kigumu?
😂😂😂
 
aaaaahaa !
-nikimtongoza msichana akakubali siku iyo iyo,
-kuwa bize na simuwakati tunaongea/ kuwa na wasiwasi simu ikiwa mbali au nikiishika
-tupo wawili lakini anaongea kwa sauti kama yupo kwenye debate
-kucheka cheka hovyo bila sababu

vinanikata stim kabisaaa🙈
 
Kama nakuona we na mbol.....o yako mlivyonywea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…