Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Kuna mwanake nilianzisha nae mahusiano baada ya muda akaniambia ni mjamzito binafsi nikaona ananichungulia.,...baadae niakapewa habari kua alishatumia kila mbinu lakini hakupata mtoto mpk Kwa waganga alienda lakini wapi...

.Nachojiuliza iweje kua na Mimi Tu basi apate mimba....binafsi nimegoma kulubali kua hyo mimba ni yangu may be mpk mtoto atakapozaliwa kwani inatia ukakasi.
Mungu awape watoto wale wenye uhitaji nao Insha Allah.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uarabuni kuna joto Mara 2 ya dar na watu wanazaana Kama njugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Mungu mengi mkuu, yamkini Mungu amekutumia wewe kumfuta machozi, tafadhali mwamini na uwe karibu yake
 
Kwani hapa bongo huduma ya surrogates ipo?

Au akafanyie wapi?


Sent using Jamii Forums mobile app
India ilikatazwa baada ya mashoga wa kimarekani kuimisuse. Wanaruhusu wahindi wenzao tu. Kwa kenya wapo wengi na Sauzi.

Hapa TZ haipo rasmi kivile ila ipo. Unapanga na mdada (awe keshazaa wakwake angalau mmoja, unampeleka India anabebeshwa na kama pesa inaruhusu anakaa hapo hospitali kwa miezi 7 ili wasaidie ku monitor kiumbe tumboni maana huwezi kurisk upate Mlemavu au mwenye utindio.

Baada ya hapo unamrejesha hapa nchini (kumbuka akijifungulia huko kasheshe yake ni kali mpaka upate kibali kabla mtoto hajazaliwa kuwa serikali ya JMT itamtambua kuwa ni Raia wake).

Unaishi naye hadi anaenda kujifungua kwa Operation tu. Huko huko akitoka thyeta hata mtoto hamuoni unampa chake anaishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…