Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

mtoa maada Nitafute usipozaa nahama Tanzania!!
 
Pole sana jamani dada!
Kuna wakati wa Mungu, usichoke kumshukuru kila leo!
 
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho
 



Pole sana.
 
Je Hawa ambao wanatoa mimba na wanatumia njia za uzazi na bado hawana matatizo ya uzazi kitu gani kinawasababisha waendelee kuzaa??
Hao si kivile, ila kuna wale toka shule za msingi mpaka chuo ndiyo wengi wanamatatizo,
wewe umeshakuta std7 au 4/4 waliyo kwenye ndoa wanahangaika kuhusu watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…