Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

TAFUTA KIBUNDA
TAFUTA PESA
TAFUTA HELA
TAFUTA MAVUMBA
TAFUTA UMATE UMATE

Kuwa na hela kijana halafu njoo tena uone kama kuna mtu atakukataa
Mkuu Naomba Usome Vizuri Hapa.....!! Kama ni Suala la Pesa Mbona Nalimudu Vizuri....!! Nahonga Ovyo Sana Na Hua Sijiulizi Mara Mbili Mie Kwa Pisi Yeyote ile Natoa Tu Tena Kwa Wakati
 
Hakuna demu wakumkataa kijana mwenye gari plus kazi nzuri ebu tuweke wazi hali yako
 
Ukiona hivyo hao hawajatoka kwa ubavu wako,tulia subiri alietoka kwa ubavu wako
Ndani ya huu mfungo wako ,jitahidi kumshirikisha Allah!pia kwa hili.
Ramadhan qareem
Taqabar Mina Waminkum Kaka...!! Ni Miaka Sasa Naomba Dua Hizi
 
Chunguza harufu ya kinywa chako..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…