Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi ndio Watu simple.
Siku moja uje hapa Kimara au Mbezi beach kunitembelea.
Au unafikiri haya mafunzo yanatumika muda wote? πŸ˜€πŸ˜€
Haya ni kwaajili ya Vijana wanaosoma mtandaoni ili wapate Elimu.

Najua nawe unakaubishi lakini Sisi ndio suluhisho lakoπŸ˜€
 
Huwezi kuitenganisha Akili na Elimu tafadhali..unadhani ukiwa na akili ndogo unaweza kuwa proff. wa Mathematics?

Akili imebuni Elimu.
Imani imebuni Dini.

MTU anaweza akawa na Elimu lakini asiwe na Akili.
Akili ni uwezo wa kuchambua, kuchanganua, kukumbuka na kutatua matatizo na changamoto zinazomzunguka Mwanadamu.
 
Maandiko Yako yanakutanabaisha wewe halisi!niliwahi tolewa out na dinner jangwani sea breeze,hakika yule mwanasaikolojia alinifanya niione Ile dinner kama nipo Sahara desert......mnaleta mambo mliyomezeshwa huko saikolojiani kwenye date!
 
Akili imebuni Elimu.
Imani imebuni Dini.

MTU anaweza akawa na Elimu lakini asiwe na Akili.
Akili ni uwezo wa kuchambua, kuchanganua, kukumbuka na kutatua matatizo na changamoto zinazomzunguka Mwanadamu.
Nishikie ubishi wangu,niende kwanza ibada nikirudi nije nimeshiba nikubishie hapa😁
 
Maandiko Yako yanakutanabaisha wewe halisi!niliwahi tolewa out na dinner jangwani sea breeze,hakika yule mwanasaikolojia alinifanya niione Ile dinner kama nipo Sahara desert......mnaleta mambo mliyomezeshwa huko saikolojiani kwenye date!

πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo hayajui hiyo Michezo.
Ni wale walioyajua mapenzi Baada ya Kupata Ajira πŸ˜€πŸ˜€
Ndio hawa mnaowaambia watafute Pesa.
 
Amen!

Taikon wakati mwingine akili huwa zinamzidia mpaka dishi linayumba halafu mbishi balaa. Anajua kila kitu!

Ulichosema hapa ndiyo ukweli wenyewe...na ndiyo hata mimi nilidokeza hapo juu.

Mungu Akulinde Kipenzi πŸ™πŸΏβ€οΈ
 
Mwanamke haendi kwa mbinu 1 tu
Naona umetupa mbinu 1 nina uhakika hii inaweza ikakwama itatakiwa utumie mbinu zingine zaidi ya 99 ambazo ninazo kwenye store yangu
Tumia
Maswali
Pesa
Ubabe
Jiamini
Upole
Mbinu ya mwisho ni uchawi
Zote hizo zikishindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najua,ila ni tabia mbaya na ya kishenzy ndio maana Kuna mapagale mengi hayana muendelezo Eroni,,Tushirikisheni wake zenu tafadhali😁😁😁😁😁
Wewe ujue tu kuwa sio kila jambo la kumshirikisha mwanamke, mwanaume ndio anaamua lipi nimshirikishe na lipi vifanye kimyakimya. Tulivyoambiwa tuishi na wanawake kwa akili tunazingatia sana
 
Hatupendi mwanaume anaejifanyia mambo bila kutuuliza na kutushirikisha....tunahisi katudharau,na hana future na sisi
Wewe umeongea kitu real kabisa.

Nadhani katika kuwauliza ilitakiwa mtoa mada afafanue ni katika inshu zipi mke akiulizwa anapenda na inshu zipi mke akiulizwa hapendi.

Binafsi miaka ya mwanzo wakati naoa nilijiuliza sana hii kitu ila nikaja KUMSOMA MKE WANGU kama ifuatavyo na sijui kama wanawake wengine mtakua hivi.

1.kwenye inshu zinazohusu maendeleo kama vile kuwekeza,kujenga n.k hapo unatakiwa umshirikishe na umuulize ili na yeye atoe mchango wake.

2.kuna mambo ilikuwa nikimuuliza kama vile leo nikununulie chskula gani ama mboga gani,yeye huwa anamaindi sana hahahaha.,hiyo ni kwa mwe wangu sijui kwa wengine.
 
Sasa according to Robert ilitakiwa umshike mkono Miriam,ummbusu mwaahhhh......🀣🀣🀣🀣🀣kama tusingeitwa kama familia tuje tukutoe kimara police post
πŸ˜‚ πŸ˜‚ wanasema za kuambiwa changanya na zako, zangu zilinituma nifanye hvyo nilivyofanya. taikon Robert Heriel Mtibeli kaeleza vyema lakini kuna vingine ukifanya utauponza unaweza jikuta segerea.
 
Ntarudi akitokea atakae weka summary kwa bullet form kwa hivi ilivyo kuna rejea ya haki, uhuru na wajibu na demokrasia za watibeli imegoma kuna viashiria sivyo.

Ntarudi baadae
 
Sasa utamshikaje MTU mkono hata hamjasalimiana, hujaonyesha Nia, nawe hujaona Nia yake?
 
Ntarudi akitokea atakae weka summary kwa bullet form kwa hivi ilivyo kuna rejea ya haki, uhuru na wajibu na demokrasia za watibeli imegoma kuna viashiria sivyo.

Ntarudi baadae

Hiyo ndio summary Mkuu.
Ukitaka maelezo zaidi kitabu chake ni encyclopedia yenye pages 700
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa utamshikaje MTU mkono hata hamjasalimiana, hujaonyesha Nia, nawe hujaona Nia yake?
salamu ni muhimu lakin baada ya salamu unaweza ukaonesha uchangamfu fulani mpaka mtu akajiona huru kabisa kukupa ushirikiano na ukazungumza nae akihisi unamjua, kikubwa jina awe ameshakuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…