Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Mtu anayedhani pesa ni kila kitu ni ngumu kuishi nae

Kuna muda uwepo wa mtu ni muhimu kuliko pesa
Shida wengi ndio mumejiwekea hio standard kwamba usipopewa hela hupendwi au mwanaume asiye na hela ni mmbabaishaji! Basi mnawakataa wasio na hela za kuhonga bila kujua kuwa upendo sio pesa tu ila ni moyo tu! Mtu kukuthamini sio lazma akupe kupe pesa tena watoa hela ndio matapeli no.1 sababu kwa njia hii anaweza kuwapanga hata mademu 16 kwa wakati mmoja...poor ladies mna kazi!
 
Sipatikani kiboya hivyo
 
Wanaume wa siku izi mnapenda kitonga, toka zamani mwanamke ni wa kupewa! Msipo ombwa hamtoi ndo kujidai kusifia nina mwanamke wa tofauti😂😂😂😂 unangoja umuite hata nauli humpi, mara mmekula uanze kumkopa eti umalizie bill, kodi hujalipa lakini unataka umlale mwanamke nyumbani kwake alikopanga, pesa hujampa Ila utataka umtembelee akupikie, 😏😏😏😏 kipindi iko nadate na mpenzi jamani ela unapewa adi unanunua kiwanja bila kuomba omba wanaume walikuwa wanayajua majukumu yao vizuri........ila wanaume wengi mnaolalamika kuombwa ela nahisi pesa zenu za mawazo sana! Kuna wanaume bado wanajua kutoa pesa
 
Wala hata msiwalalamikie wanawake tu! Siku hizi mapenzi hakuna!

Wanaume wanataka ngono tu kupiga na kusepa halafu baadaye waanze kuwacheka wanawake waliopita nao kuwa ni malaya kwa kuwa wao wanaume hawana cha kupoteza! Mwisho wa siku wanawake wanaona angalau wawapotezee na ninyi pesa zenu!

Kuna mmoja niliwahi muuliza kama wanawake wakiacha kuomba pesa ndiyo wanaume watawaoa! Akanijibu eti inategemea (kwahiyo nikajua kwamba wanawake kuomba pesa siyo sababu kubwa na pekee ya wanaume kutokuoa)!
 
Mtoto wa kiume unataka mseleleko??
Nunua mdoli uwe unajipooza... Hao they don't live.

Alafu mtoto was kiume ni provider sasa huku kulilia kwenu sijui mnata mpewe haki sawa na wanawake??
 
Huyo ni mimi kabisa,lol!
 
Naam alwatan
 
Pesa inazungumza hapo, unataka haseme nini wakati kisha maliza hapo!!!!!
 
Kaka madenge waambie vijana bora kulala gerezani

 
Punguzeni njaa nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…