Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Dream😀
 
hivi wewe jamaa ni unawatoa wapi hawa ?
kama ni hapa duniani tena bongo itakuwa chai
 
hivi wewe jamaa ni unawatoa wapi hawa ?
kama ni hapa duniani tena bongo itakuwa chai
Hapa hapa bongo mzee Ni kufanya uchaguz mzuri tu si wanawake wote Ni wahovyo ila kundi la wahuni wachache wa kike ndio linalo waharibu walio weng kuwa na akili za kipumbavu.

Maswali yako ya kwanza kwenda kwa mwanamke akarudishia majibu ndio utaelewa Ni mwanamke wa Aina gani

Sent from my TECNO B1 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wa karne hii tuna shida sana.Kwani mwanzo tunaishi vipi mpaka ukipata mwanaume ndio akuhudumie shida zako? Wanawake/wasichana inabidi wabadilike tabia mapenzi sio pesa,ni vyema ukisimama na kujitegemea siku zote hata wanaume watakuheshimu haya mambo ya kujilizaliza ni kujivunjia heshima,na inakufanya unaonekana cheap kama bidhaa vile.
 
Tupo kwenye kikao na Mello muda huu tunaandaa barua kwa mama upate ulinzi wa vijana wa siro wale wa ukonga na vijana wa mabeyo wale wa ngerengere
 
Mnsemaga hela ya mwanaume tamu nyie
 
Kwahiyo mnataka muombwe nini?

Yet, mbona hata mukipata hao ambao hawaombi munawaharass na kuwanyanyasa?
 
Wanaume wenye njaa nao mmekuwa wengi mnoo...unakuta mwanaume amekamilika anasema alimpa demu efu20 sjui 15 ya matumizi kheeee afu anajisifu amehudumiaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha ha ha
 
Wanatuambia Mashairi ya Shaban Robert HAWAHITAJI
 
Malalamiko hayo yamechagiwa pia na wanaume wa siku hizi kupenda kitonga(slope)wengi wanaolia lia hawana pesa yaani pesa ni ya kubangaiza hawataki kutimiza majukumu yao kitu kinachofanya malalamiko yazidi kuongezeka
Shida sio kutoa hela, kiuhalisia wanaume tunapenda sana kuwapa hela wanawake tunaowapenda.

Shida ni kuwa wanawake wengi mnaoomba hela mnakua na NIA MBAYA na sisi wanaume mnaotuomba hela, na sisi wanaume huku rohoni we can sense it, yani mwanaume kuna saa ukiombwa hela na mdada unajua hapa natapeliwa, naigiziwa, na mdada hana hisia kabisa na mm, yuko na mm sababu ya hela tu.

Wanaume hatutaki kupendewa hela ndo maana tunalalamika tukiombwa hela na wadada Shunie Niwaheri Evelyn Salt Sky Eclat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…