sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi.
Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda unafahamiana nae baada ya siku tatu unaorodheshewa matatizo gesi imeisha, simu imepasuka kioo, mama amekimbizwa hospital, luku imekata sasa hivi, nimepungukiwa kodi yani yote hayo unakuta anapewa boyfriend au mwanaume ambaye hata bado hajatamka nakupenda.
Kwa kweli ni janga wanaume wanaogopa wanawake, hawajui yupi ni wa kuoa vijana wanashindwa kupata wife materials kisa mizinga. Wamebaki kutoa hela ili wapate huduma ya ngono na wakitosheka wanakimbia mizinga wanahamishia kwa wanawake wengine kutafuta utamu mwisho wa siku kina dada wanalalamika siku hizi hakuna waoaji