Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Kwamba kuna wakati huwa mnapata kichaa 😁😁 kwani ni uongo lakini?
Lakini wanawake huwa hawapati kichaa?
Hebu tafakari, kuna wanaume wanaojitoa kusomesha wapenzi/wake zao, baada ya kupata elimu huwageuka waliowasomesha na. kuanzisha mahusiano mpya kabisa (ilitokea hivi, mwanaume atatukanwa sana kwamba alikuwa mjinga kumsomesha mpenzi/mke), na wengi mtamtetea mwanamke kwamba ANA HAKI YA KUCHAGUA AMTAKAYE, na KUSOMESHWA ISIWE SABABU YA KUMLAZIMISHA KUOLEWA NA MSOMESHAJI.

Lakini, ikitokea mwanaume ameshindwa kuvunilia Tabia za mke wake, akaamua kuondoka na kwenda kuanzisha maisha mengine, husikii mtu akimtetea na kumlaumu mwanamke, badala yake lawama zote zinahamia kwa mwanaume na kuona mwanamke ni malaika anayeteswa na mwanaume shetani.

Ninachofahamu, tangu enzi za biblia, NGUVU YA MWANAMKE IMEJIFICHA KWENYE UNYENYEKEVU WAKE, mwanamke mnyenyekevu aliweza kumuangusha mbabe WA kiwango chochote!

Sasa wanawake wengi WA sasa, Wana vinywa vipanaaa, wakianza kuongea mishipa ya shingo na vichwa inawasimama, wakiamini inawasaidia, kumbe wanapoteza!

Rose anaweza kuwa alimaanisha Jambo zuri tu la kuhamasisha wanawake wasiishie kukata nyumbani na kuomba kila kitu kutoka kwa mume, ila lugha aliyoichagua, na akili za wanawake walio wengi, amini nakwambia Ile kauli imeshabomoa fikra za wanawake wengi na watakuwepo ambao tangu siku amesema Rose, hawafui tena boxer za waume zao! kantwe
 
Sijasoma komenti yako mpaka mwisho maana jinsi ulivyoanza umeonyesha uko biased tayari. Kwanza hapa tunaongelea wanandoa sio wapenzi, usilinganishe kuvunjika kwa penzi na kuvunjika kwa ndoa.
Pili hiyo mifano yako miwili uliyotoa haofanani hata kidogo, mwanamke amemwacha mwanaume aliyemsomesha na kwenda kuolewa na mwingine (tunaashum huyu aliyemsomesha hajamkosea chochote). Ila mwana mwanaume akimuacha mke wake ni kwa sababu ameshindwa kuvumilia tabia mbaya za mkewe...
Tatu, mwanamke ambaye uko nae kwenye mahusiano naye leo akikuacha haondoki na mali zako akaenda kumpa mwanaume mwingine lakini mwanaume aliyeko kwenye ndoa akianza kutafuta malay* huko nje atatumia mali walizotafuta na mkewe huku mke na watoto wakiteseka ndani.
Nne, sio ninyi huwa mnasema humu kwamba mahusiano yakivunjika mwanaume hana hasara? Kwamba ninyi kadri umri unavyoenda thamani yenu inapanda 🤣🤣 (nacheka kama mazuri). Sasa mwanamke akikuacha si anakuwa amekusaidia? Alikuchukua ukiwa na thamani ndogo kisha anakurudisha sokoni ukiwa na thamani kubwa. Unatakiwa kufanya sherehe sio kulia
Sita, since mtu yeyote wakati wowote anaweza kupata kichaa ni jambo la busara kila mtu akajiimarisha yeye kama yeye, akajifunza kujitegemea jambo ambalo wanaume tayari mmepewa hiyo privilege na mfumo...
 
😂😂😂😂😂
Dada, umehukumu mapema sanaaa, how unasema nipo biased!?
Tazama utetezi wako, mwanamke akimuacha mwanaume hata baada ya kuwekeza resources zake kwa mategemeo ya kuanzisha familia,unaona sawa! Lakini mwanaume akimwacha mwanamke, nongwa unaanza!

Yote kwa yote, tangu kuumbwa kwa ULIMWENGU, nguvu ya mwanamke IMEJIFICHA KWENYE UNYENYEKEVU WAKE, japo nyie WA sasa, mnataka na wanaume wawe wanyenyekevu kwa wanawake kwa kisingizio cha "wote tupo Sawa"

Hatupo Sawa, na haitokaa itokee tukawa Sawa!

Mungu hakuwa mjinga, kutengeneza misingi ya familia, na shetani hajawa mjinga kuhakikisha NDOA zinavurugwa in and out!

Mwisho, mwanamke akiamua kutokuvunja NDOA haivunjiki hata kama mwanaume akitaka kuvunja, lakini mwanamke akiamua kuvunja NDOA ni sekunde moja Tu, inavunjika hata kama mwanaume hataki ivunjike! Khantwe
 
Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.

Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.

Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.

Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.

Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.

Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?

Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
Abarikiwe mama aliekuzaa mkuu😍
Umebariki sana asubuhi yangu.
 
Nadhani kinachozungumzwa hapa sio mwanamke asome then akae Tu ndani, swala ni, kusoma,kufanya biashara, kupata nafasi ya Uongozi n.k tunafanya mwanamke aache kuwa mwanamke? Aanze kuwa mbabe, mwenye dharau, na KIBURI kwa mumewe?

Kama hivyo ndivyo wanavyoamini, basi ni ukweli kwamba, miaka ijayo, kitakuwa na kundi kubwa Sana la wanawake ambao ni SINGLE MOTHERS na watoto wengi watakaokuwa wamezaliwa na kulelewa nje ya misingi ya UADILIFU!

Kwa haraka haraka, unaweza kuona ni kitu chepesi, kwa sababu ya kuhimili mahitaji ya kibinadamu kama chakula, mavazi, elimu n.k, lakini kuna nguvu kubwa Sana katika kujenga hatma ya watoto kwenye familia iliyokamilika.

Mwanamke bado ana dhamana kubwa ya kufanya maisha ya NDOA yastawi, au yaharibike.
Kila mmoja akicheza nafasi yake vizuri, Kesho ya watoto itakuwa Bora sanaaaa!
Mwanamke ana dhamana ya kufanya maisha ya ndoa yastawi?? Ila mwanaume hana hiyo dhamana?
Mnataka peace kwenye ndoa ambayo tafakari yake ni wanaume ku cheat na kufanya ushenzi ila mwanamke ni kuvumilia na kusema ndio baba??
Ukweli ni kwamba mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu sana ndio maana Mwenyezi Mungu aliwaasa muishi nao kwa akili, mtu ambae anajua unakula nini na kulala wapi unatakiwa umuheshimu sana, ila wanaume wa saiv wako na full insecurities ambazo hazina sababu.
Most men are men without masculine qualities sasa hapo mwanamke anaanzaje kua submissive kwa mumewe wakati mwanaume hana masculine powers,
All in all kila mtu aishi na anaeendana nae, ndoa ya huyu haitakua sawa na yule.
Ila what a man can do, a woman can do it better!
 
Hawa ng'ombe miaka sio mingi watakuwa wanapiga magoti kuomba ndoa huku wana degree Tano

Wanaume wanakipawa cha kuona mchezo kamili wa maisha kabla hajaanza kucheza.. Ni kipawa.!

Mwanaume kuchakarika ni uwajibikaji tu na wala sio mashindano kwake

Mwanaume kamili haoi takataka kama hizi hakuna ustawi wa familia kwa aina hii ya mwanamke
Ukitaka uone uwezo wako wa kufikiri ulivyo kwenye hii post kila ukimtaja mwanamke unasema takataka, ng’ombe.
Una shida, please seek help na uache kushindana na wanawake,
Jiamini kuwa unaweza na sio kudogodisha wanawake ili uonekane una uwezo😅
It hurts
Yooo
 
Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.

Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.

Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.

Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.

Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.

Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?

Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
Point tupu umeongea.
 
Mwanamke ana dhamana ya kufanya maisha ya ndoa yastawi?? Ila mwanaume hana hiyo dhamana?
Mnataka peace kwenye ndoa ambayo tafakari yake ni wanaume ku cheat na kufanya ushenzi ila mwanamke ni kuvumilia na kusema ndio baba??
Ukweli ni kwamba mwanamke ni kiumbe mwenye nguvu sana ndio maana Mwenyezi Mungu aliwaasa muishi nao kwa akili, mtu ambae anajua unakula nini na kulala wapi unatakiwa umuheshimu sana, ila wanaume wa saiv wako na full insecurities ambazo hazina sababu.
Most men are men without masculine qualities sasa hapo mwanamke anaanzaje kua submissive kwa mumewe wakati mwanaume hana masculine powers,
All in all kila mtu aishi na anaeendana nae, ndoa ya huyu haitakua sawa na yule.
Ila what a man can do, a woman can do it better!
Sina hakika kama umesoma kwa utulivu nilichoandika,umehitimisha kwa mihemko sanaaa!
"Wanaume WA sasa hawana masculine" ukilinganisha na wanaume wa lini?

Unasali au kuswali? Unaamini maandiko matakatifu au quran?
Vitabu vyote hivi, vina hadithi nyingi za uhalisia, kwamba NGUVU YA MWANAMKE IMEJIFICHA KWENYE UNYENYEKEVU WAKE, ona nyie WA sasa, mnatumia nguvu nyingi hekima hamna kabisa, mnapayuka payuka Tu,kama unavyofanya hapa!

Na ndiyo maana, kwa minguvu yenu na makelele yenu haya, mnaishia kuzalishwa na kuachwa!

Kwa wewe unavyoonekana, kama sio singo mama tayari, basi ni singo mama ujaye, otherwise iwe unachokisema sio unachotenda!

Mchana mwemaaaa!
 
😂😂😂😂😂
Dada, umehukumu mapema sanaaa, how unasema nipo biased!?
Tazama utetezi wako, mwanamke akimuacha mwanaume hata baada ya kuwekeza resources zake kwa mategemeo ya kuanzisha familia,unaona sawa! Lakini mwanaume akimwacha mwanamke, nongwa unaanza!

Yote kwa yote, tangu kuumbwa kwa ULIMWENGU, nguvu ya mwanamke IMEJIFICHA KWENYE UNYENYEKEVU WAKE, japo nyie WA sasa, mnataka na wanaume wawe wanyenyekevu kwa wanawake kwa kisingizio cha "wote tupo Sawa"

Hatupo Sawa, na haitokaa itokee tukawa Sawa!

Mungu hakuwa mjinga, kutengeneza misingi ya familia, na shetani hajawa mjinga kuhakikisha NDOA zinavurugwa in and out!

Mwisho, mwanamke akiamua kutokuvunja NDOA haivunjiki hata kama mwanaume akitaka kuvunja, lakini mwanamke akiamua kuvunja NDOA ni sekunde moja Tu, inavunjika hata kama mwanaume hataki ivunjike! Khantwe
Mwisho wa siku ndoa ni ya watu wawili. Ni wajibu wa kila mmoja wenu kuhakikisha ndoa hiyo inadumu, mambo.ya kumtwisha mtu mmoja jukumu la kuhakikisha ndoa inadumu yamepitwq na wakati. Zamani wanawake walipokuwq tegemezi hii mbinu ilikuwa inafanya kazi maana mwanamke alikuwa hana namna ya kujitegemea endapo atatoka kwenye hiyo ndoa matokeo yake walikuwa wanavumilia kila aina ya vitimbwi na manyanyaso ila sasa hivi watu wanapenda wanapopendeka.... Ikitokea wakaona dharau za wazi wanachukua hatua, cha kufia nini na ndio maana sasa hivi mnaona mambo hayawaendei kama zamani mnahaha kutukana matusi 🤣🤣 kama huyu mtoa mada alivyopaniki
 
Hatimaye Rose kanisemea upuuzi nisioufagilia wa kufua viboksa na kuacha kutafuta pesa..!!

Wanaume sijui mtamuendesha mwanamke gani karne hii 😹

Kila siku mnakula za uso 😹
Uzuri wanawake wako chungu nzima😂 kila mtu atatafuta wa size yake. Ukitaka wa degree 4 wapo ukitaka wa form 4 wapo😂
 
Back
Top Bottom