Kwani hauwezi kuwa unafanya kazi lakini majukumu yako ya nyumbani unafanya kama kawaida kwa kiasi chake?Ving'ast ndo wamesanuka wanafaidi sana hela za wanawake wapambanaji.. ukishakua na mpunga tayari ww ni mwanaume kasoro jinsia sasa hapo ndo wanawalamba lamba wanawake wanawafungulia milango ya magari wanawalamba mwili wote aah hata akisema "Love of my life , mama la mama nicash mil15 niboost hapa mzigo utoke bandarini wanatoa" nendeni na flow nyie😅😅...
Halafu ukitaka uheshimiwe na ww unaoa sisi Ngumbalu wazazi wetu waliokosa ada sisi boxa tunafua mpaka mapaja na viwiko vinaota sugu! Tunapokea simu huku tumepiga magoti.