DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
M
MKe wako nae ni mtoto wa mtu 😃
Hv kumbe, mi huwa najisahau aisee 😅🤣😂M
MKe wako nae ni mtoto wa mtu 😃
M
MKe wako nae ni mtoto wa mtu 😃
Hv kumbe, mi huwa najisahau aisee 😅🤣😂M
MKe wako nae ni mtoto wa mtu 😃
❤️👌🤝🤝🤝Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.
Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.
Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.
Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.
Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.
Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?
Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
Wanawake wenye heshima ya kweli ni wale ambao walipata vyote hivyo halafu wakafanikiwa kuheshimu waume zao, ninyi mnaheshimu out of option… Yawezekana mngepata kama hao kina Rose shaboka mngekuwa worse zaidi.Ving'ast ndo wamesanuka wanafaidi sana hela za wanawake wapambanaji.. ukishakua na mpunga tayari ww ni mwanaume kasoro jinsia sasa hapo ndo wanawalamba lamba wanawake wanawafungulia milango ya magari wanawalamba mwili wote aah hata akisema "Love of my life , mama la mama nicash mil15 niboost hapa mzigo utoke bandarini wanatoa" nendeni na flow nyie😅😅...
Halafu ukitaka uheshimiwe na ww unaoa sisi Ngumbalu wazazi wetu waliokosa ada sisi boxa tunafua mpaka mapaja na viwiko vinaota sugu! Tunapokea simu huku tumepiga magoti.
Umecheka nini wewe kichogo 😹😹Kichogoooo 😂nimecheka sana
1.Ukiishi kwa kutumia akili hutihangaika na hisia maishani!Wanawake wenye heshima ya kweli ni wale ambao walipata vyote hivyo halafu wakafanikiwa kuheshimu waume zao, ninyi mnaheshimu out of option… Yawezekana mngepata kama hao kina Rose shaboka mngekuwa worse zaidi.
However nawapa maua yenu, mnajua kulisha ego za wanaume , Since wengi wao wana ego dhaifu.
Mi wala sina baya na nyie, nawapa tu maua yenu.Ukiis
1.Ukiishi kwa kutumia akili hutihangaika na hisia maishani!
2.Hiari inashinda utumwa
3.Katika yeye akutiaye nguvu utayaweza mambo yote!
Maisha nayo sio yakuchukulia serious sana. Na ushauri wa kila mtuMi wala sina baya na nyie, nawapa tu maua yenu.
Mwenyewe ni muumini wa modern feminism inayosema mwanamke ana haki ya kuchagua alee familia nyumbani au akafanye kazi asaidiwe kuelea familia, Yote haya ili mradi asijidumbukize katika mazingira yakunyanyaswa.
Kichogo nilikuaga kataa ndoa chaajabu naelekea kumuoa mtoto wa mama mkwe nipe address nikuletee kadi 😁Umecheka nini wewe kichogo 😹😹
Binti ninae na alhamdulillah kasoma dini na kadegree kake anako and mwezi September Anaolewa Insha'AllahSijui kama una mtoto wa kike, ila niamini mimi ukipata mtoto wa kike hutamuandaa hivyo unavyotaka wanawake wawe. Huwezi kumpata mwanamke wa zamani kwa hawa watoto wa kisasa.
Mimi nina kabinti kangu hapa, kwakweli sitamani kakaishi haya maisha ya changamoto nazoziona kwenye ndoa za watu wengi.
Yangekuwa hayo yangekuwa ni matarajio mazuri, kwa sasa watoto wa kike wanasomeshwa kuamini cha mume si chake ndio maana akiwa na kipato ndoani ni kupambana kujenga himaya yake na akiweza dharau zinaanzia hapo kumuona mume si chochote si loloteKwaajili ya familia ya Wazazi wake na pamoja na ya kwake na mumewe na ndio maana wewe ukioa mke wako lazima awe anasaidia nyumbani kwao Ndio maana Kuna wakati unaweza kujiuliza pesa ya mke wako huwa inaenda wapi mbona inaisha haraka ni pamoja na Hilo ukishaoa utalijua hili
AriririiiiiiiiiiiiiiiKichogo nilikuaga kataa ndoa chaajabu naelekea kumuoa mtoto wa mama mkwe nipe address nikuletee kadi 😁
Hahaha 😂 ila kichogo kwamba staili tatizo unawaza ngono tu ndio maana. Stress tunazo na tutaishi nazo we karibia ule ubwabwa uMC unauweza nikupe.Ariririiiiiiiiiiiiiii
Address mtaa wa Narung’ombe kichogo..!!
Umeamua kujibebea stress zako..
Kakupa style gani mpk umetangaza ndoa? 😹😹😹
Sasa kipi kilichokutuliza mfyuuuu 😹😹Hahaha 😂 ila kichogo kwamba staili tatizo unawaza ngono tu ndio maana. Stress tunazo na tutaishi nazo we karibia ule ubwabwa uMC unauweza nikupe.
utaniharibie shughuli mwishowe uropoke Naitwa MC kichogo 😁Sasa kipi kilichokutuliza mfyuuuu 😹😹
Nipe u MC nichachue shuhuli hiyo..!!
Mkuu bado sijaelewaBadala ya kusoma master yeye kaamua kusomea course nyingine
😂😂😂😂 Mapenzi ninyi nishawai fua chupi nikawa nanusa moja moja Kila chupi inaharufu yakeKila mtu afue chupi yake bana😀
Dah! UnanichekeshaMume gani tena ndugu yangu 😆 waache kwenda kuoa wenye degree4 watuoe sisi ngumbalu
Sina mume nna idea tu
Kuwa na degree nne maana yake kusomea course tofauti tofauti nne especially ukiwa tayari una degreeMkuu bado sijaelewa
Sasa hapo inategemea na mwanamke mwenyewe ikatokea kwenye malezi gani na upeo wake ukojeYangekuwa hayo yangekuwa ni matarajio mazuri, kwa sasa watoto wa kike wanasomeshwa kuamini cha mume si chake ndio maana akiwa na kipato ndoani ni kupambana kujenga himaya yake na akiweza dharau zinaanzia hapo kumuona mume si chochote si lolote