Halafu ngoja huyo mwanaume afariki ndugu wa mume wanataka kunyang'anya kila kitu na kusema kuwa "mwanamke alikuwa mama wa nyumbani tu alikuwa hafanyi kazi" hana mchango wowote kwenye familia!!!! Shit!!!!Wanauliza what do you bring to the table, yaani yale mambo unatakayomfanyia nyumbani hayahesabu. Tukisema haya tujamasishane tutafute hicho cha kuleta mezani wanalia 😁
Hapo shida ni choice yako ya mwanaume, mwanaume mwenye Nia ya dhati ya kuoa utamjua na tapeli anajulikana sema ukaamua ukaze fuvuMimi nimewafulia wangapi,nimejitoa kwa wa ngapi mtu hana hata boxer unamsaidia kwa kila kitu halafu baadae anaoa kwingine .
Sasa udhani maisha huwaga nini??
Bora uwe na hela halafu uzae tu wafanyakazi walee.wewe tafuta ustaa ufahari na raha zakila aina .
SERIOUS Mental issue, specifically she is a victim sufferer of delusional disorder (grandiose type), or narcissistic personality disorderEbu isikilize hii Ng'ombe 😀😀😀View attachment 3620050
Mumeo akikushauri uache kazi haina maana ya kwamba anakulazimisha uache kazi. You can say "NO", na hakuna kitu atafanya akafanikiwa kukuachisha kazi. Ndoa yenyewe ina "exit" ya kisheria kabisaa. Unaweza kutoka. Nawajua wadada wawili nilikua nao hukoo ... walipata fursa za kujiendeleza (mmoja mpaka alivunja ndoa) waume zao walipinga lakini bado walifanikiwa kwenda. So, hakuna kisingizio cha mwanaume wala ndoa hapo.Msingi wa hoja upo kwasababu wapo wawakawe wengi wakiolewa wanaambiwa na Wanaume zao waache kazi wabaki kuwa mama wa nyumbani hao ndio Pasta kawalenga
Mimi huwa nasimamia kwenye ukweli na hoja yenye mashikoHaleluya! Hadi wewe unakubaliana nae 😁 case closed
Hii ni definition ya kuwa na insecurityShangaa na wewe
Wabongo wengi tuna shida ya uelewa, stress, kukurupuka na ndio maana Doctor ameshindwa kueleweka ingawa hoja yake ipo clearNashangaa wanaume wengine wanapanic!!! Halafu hao hao wanasomesha watoto wao wa kike!!!! Wanawasomesha wakawe mama wa nyumbani????!!!!
Yeye kashauri kama wengine wanavyoshauri kwenye mambo mengine Sasa hapo kosa lake liko wapi?Mumeo akikushauri uache kazi haina maana ya kwamba anakulazimisha uache kazi. You can say "NO", na hakuna kitu atafanya akafanikiwa kukuachisha kazi. Ndoa yenyewe ina "exit" ya kisheria kabisaa. Unaweza kutoka. Nawajua wadada wawili nilikua nao hukoo ... walipata fursa za kujiendeleza (mmoja mpaka alivunja ndoa) waume zao walipinga lakini bado walifanikiwa kwenda. So, hakuna kisingizio cha mwanaume wala ndoa hapo.
Hana kosa lolote. Kapingwa tu kwa hoja na kejeli. Kitu ambacho ni kawaida.Yeye kashauri kama wengine wanavyoshauri kwenye mambo mengine Sasa hapo kosa lake liko wapi?
Anashambuliwa kwa sababu ya vita ya mwanaume kuwa na control dhidi ya mwanaume mwingine na dhidi ya mwanamke mwenyewe.Kwa kweli sijaelewa hoja yako
Lengo kuu la kusomeshwa awe msaada kwa familia sio tu awe mama wa nyumbani huu ndio ukweli wenyewe ambao jamaa anaupingaNahisi kamaanisha kuwa mzazi hamsomeshi mtoto wa kike kuja kuwa kiburi na ego ya kujitegemea bali hufanya hivyo kutimiza wajibu lakini likitokea suala la kuolewa credit ni zilezile za miaka yote hazijawahi kubadirika hata wewe huwezi weka dume jike ndani mwako eti ukamuita mke
Kwa familia ya nani? Yake na mmewe au ya wazazi wakeLengo kuu la kusomeshwa awe msaada kwa familia sio tu awe mama wa nyumbani huu ndio ukweli wenyewe ambao jamaa anaupinga
Wewe jamaa wewe. Hebu muite Binti Kiziwi asome huu ujumbe wako nilimpa ujumbe kama huu akasema nakua "manipulative". Ukweli mtupu. Umetuelezea vizuri wengi wetu (mimi simo though).Anashambuliwa kwa sababu ya vita ya mwanaume kuwa na control dhidi ya mwanaume mwingine na dhidi ya mwanamke mwenyewe.
Ni tabia very tricky sababu mwanaume anayetaka control ndiye huyo huyo hataki mwanaume mwingine awe na control dhidi ya mwanamke, hapo hapo hataki mwanamke awe na control dhidi yake.
Ndo maana:
1. Mwanaume anasomesha binti yake awe na nguvu ya kujitegemea asiwe controlled na mwanaume, ila anataka awe na control na binti wa mwanaume mwingine.
2. Mwanaume anatamani mke wa mwanaume mwingine ili awe na control anapomhitaji kimwili kwa gharama ya mwanaume mwingine.
3. Mwanaume anatoa bikira kama symbol kuwa yeye ni kidume na furaha yake ni wale wote anaowatoa bikira wawe watumwa wa sauti yake pale anapowahitaji. Control.
4. Mwanaume anamtazama mzazi kama shujaa wake anayehitaji ulinzi dhidi ya control ya wanaume wengine.
Hahaha, umejitoa.Wewe jamaa wewe. Hebu muite Binti Kiziwi asome huu ujumbe wako nilimpa ujumbe kama huu akasema nakua "manipulative". Ukweli mtupu. Umetuelezea vizuri wengi wetu (mimi simo though).
Hiyo kusema kufua boxer ni lugha tu ya picha kaitumia lakini maana nzima alikuwa anamaanisha domestic activities ( shughuli za nyumbani ) kuwa wanawake wasiishie tu kuwa mama wa nyumbani Bali nao wanapaswa kuwa watafutaji ili kusaidia kuinua uchumi wa familia so hakuna sehemu amesema ukiwa mwanamke msomi au mwajiriwa au mfanyabiashara hautakiwi kufanya kazi za nyumbani ndio maana akajitolea mfano yeye amesomeshwa kwa gharama kubwa na Wazazi wake mpaka akawa na Degree 4 sio tu awe mama wanyumbani Bali msaada kwa Wazazi wake na familia yake aliyoitengeneza ni vile wabongo Wana low capacity of understanding wakamuelewa eti anakiburi,ujivuni kwa kusema ana degree nne bila kuelewa maana nzima ya hoja.Ni mwanamke yupi kaishia kufua boxer kwa kulazimishwa na akawa hana namna kuondokana na ulazima wa kufua boxer? Yeyote anayeamini hivi ana changamoto ya kufikiri.
Hivyo umeongea wewe ila ujumbe wake haujamaanisha hivyo ulivyosemaAnashambuliwa kwa sababu ya vita ya mwanaume kuwa na control dhidi ya mwanaume mwingine na dhidi ya mwanamke mwenyewe.
Ni tabia very tricky sababu mwanaume anayetaka control ndiye huyo huyo hataki mwanaume mwingine awe na control dhidi ya mwanamke, hapo hapo hataki mwanamke awe na control dhidi yake.
Ndo maana:
1. Mwanaume anasomesha binti yake awe na nguvu ya kujitegemea asiwe controlled na mwanaume, ila anataka awe na control na binti wa mwanaume mwingine.
2. Mwanaume anatamani mke wa mwanaume mwingine ili awe na control anapomhitaji kimwili kwa gharama ya mwanaume mwingine.
3. Mwanaume anatoa bikira kama symbol kuwa yeye ni kidume na furaha yake ni wale wote anaowatoa bikira wawe watumwa wa sauti yake pale anapowahitaji. Control.
4. Mwanaume anamtazama mzazi kama shujaa wake anayehitaji ulinzi dhidi ya control ya wanaume wengine.