Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Mams wako mlafi
Afu hajui kununua NIDO
Yan Nido gram 900 inauzwa tu elf 29-33k na unatumia muda mrefu.

Sio suala la Ladies.. tutoe hapo.
Ndo mkija mtumie NIDO mdogo mdogo kibaharia chai ya rangi mnaita ya kitu,NIDo mpaka nyingine mnalamba🀣🀣🀣🀣 ladies nyie,Kwa kuwa ma 🌺 yetu poa tu
 
Hiyo inaitwa "marking your territory".

Anaweka alama sehemu zake.

Hata mbwa huwa wanakojolea sehemu zao wakirimudi waweze kuzijua kwa harufu.

It's an old animal instinct.
 
🀣🀣🀣🀣 hatareee
 
Hahah hilo jibu ulilopewa kuwa kuna shida ulichukua uamuzi gani mkuu?
 
Yule dada alikuja na picha mbili za ukutani moja alibandika sebulen nyingine akaweka chumbani. Ya sebuleni ilikuwa ya fremu ya chumbani ilikua ukutani yaani ukiibandua inachanika.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama alikuja usiku mashambilizi yanaanz Asubuhi..
Anachemsha mayai sita ili mle matatu Kama una unga wa ngano anapika chapati za kumimina hapo ataweka mayai sukari cjui unga hapo bado ajacheza na hizo NIDO sa nne nne hv anaruka na ka juisi mchana ndo kabisaaa

Yaani anahakikisha Kila kinacholika anakigusa afu hapo anavoondoka anabeba Sweta lako afu una mpa na nauli

WANAWAKE WANA ROHO NGUMU SANA
 
Anabeba sweta lako ana acha kanga yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…