Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

Wanawake mitandaoni mnalalamika hamuolewi wakati huku kitaa mnatuambia 'mimi nina mtu wangu'

Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!

Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
 
Attachments

  • VID-20220528-WA0001.mp4
    4.7 MB
Ukianza kuwaelewa wanawake wanachotaka just unaelekea kufa
Ndiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetu
 
Ndiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetu
Wanajua wewe huwezi kumuua mwanamke sababu ya Mali lakini wao wako tayari kuua sababu ya Mali zako.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Wewe akili yako fupi ndipo ilipoishia hapo, huwezi kuleta hoja hapa, unaishia kwenye viroja.
Thibitisha kuwa akili ipo au haipo kwa ushahidi wa kuonekana/kushikika (visible/tangible evidence) [emoji19].
 
Thibitisha kuwa akili ipo au haipo kwa ushahidi wa kuonekana/kushikika (visible/tangible evidence) [emoji19].
Akili ni nini?

Sasa wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishie akili ipo au haipo.

Yani wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishe nini.

Mimi nitakuthibitishiaje wewe kitu ambacho wewe mwenyewe hujui unataka nithibitishe nini?
 
Labda kakuona huna vigezo vyake, kaamua kukuambia in a polite way,lol, kwa lugha nyingine..bado anatafuta mume wa ndoto zake.
Kuna wanaume wamepigwa vibuti, wanakuja kumalizia machungu yao hapa JF kwa kuwanyanyapaa wanawake kiujumla.

Wanaumeee. Sililizeni.

Wanawake wana haki ya kuweka vigezo vyao, hata kama ni vya ajabu.

Wana haki ya kuji contradict. Wana haki ya kuwaambia wana mtu (kwa kibuti cha kistaarabu), halafu wakawa bado wanatafuta mtu. Mwili wao, maamuzi yao, msiwapangie.

Tafuteni wanawake wanaowafaa mkae nao vizuri.

Muwafanye vizuri.

Mtakosa hata muda wa kulialia na kuwanyanyapaa wanawake kwa mafungu ya majungu hapa.

Mwanamme anayekaa kwa mapenzi na mwanamke wake anapata wapi muda wa kusengenya wanawake wengine?

Hawa wanaume wanaosengenya wanawake mitandaoni ni losers walioshindwa katika ligi ya kutafuta wanawake.

Wanakuja kulalamikia wanawake huku, wakati wao wenyewe ndio wana matatizo.

Wanaume wa shoka always tunafukuziwa na wanawake kemkem na hatuna muda wa kulalamika kwamba wanawake hawatutaki.

Tatizo letu ni kuwa wanawake wengi sana wanatutaka mpaka inakuwa shida kulala kila saa tunasumbuliwa kwenye simu.

Huwezi kutusikia tunalalamika kuwa wanawake wana vigezo vya ajabu.
 
shida yao wanataka walio fanikiwa tayari ilihali wao wenyewe bado wapo kwenye struggling.
 
shida yao wanataka walio fanikiwa tayari ilihali wao wenyewe bado wapo kwenye struggling.
Hata kama hilo ni kweli -which is debatable- hiyo ni haki yao.

Pia, wanawake wako wengi. Wa aina tofauti. Tusiwalundike wote pamoja.

Haiyumkiniki kwamba kila mwanamke anataka mwanamme aliyefanikiwa tayari.

Kwa hivyo, unachotakiwa ni kutafuta mnayeendana, hao wanaotafuta aliyefanikiwa tayari, kama si type yako, si unawaacha tu?

Kwa nini watu wasi focus kwenye wanawake wanaoendana nao na wanaona kuwasengenya wanawake ambao hawaendani nao ni kitu muhinu?
 
Hata kama hilo ni kweli -which is debatable- hiyo ni haki yao.

Pia, wanawake wako wengi.

Haiyumkiniki kwamba kila mwanamke anataka mwanamme aliyefanikiwa tayari.

Kwa hivyo, unachotakiwa ni kutafuta mnayeendana, hao wanaotafuta aliyefanikiwa tayari, kama si type yako, si unawaacha tu?

Kwa nini watu wasi focus kwenye wanawake wanaoendana nao na wanaona kuwasengenya wanawake ambao hawaendani nao ni kitu muhinu?
Sawa. Ila %kubwa ndivyo mlivyo au nimekugusa..? Wanawake nyie ni mama zetu, dada zetu ila hata dini zilishasema tuishi nanyi kwa akili. Mwanamke anaweza kumuacha mtu aliye naye kisa pesa akafika kwa mwenye pesa akarudi tena kwa mwenye shida. Tatizo wanawake hamna msimamo wengi wenu sio wote. Ikiwa tu mahusiano muna yageuza ajira. Nyie wengi wenu ni mkono mtupu haulambwi.
 
Ni kweli na kwa akili hizi za kutojitambua nini hasa unataka plus mood swings mnazokua nazo Mungu aliamua amfanye mwanaume awe mtawala wa viumbe vyote duniani mkiwemo na nyinyi

Na pia kuitawala na kuiongoza dunia katika nyanja zote za kisayansi, kiuchumi , kiutamaduni ,kidini ,kijamii

That why different scholars from ancient time ,mediviel peroid until now binadamu wana m refer Kama au wanamuita "man " licha ya kujua man ni mwanaume na woman ni mwanamke hata vitabu mbalimbali kama vya historia na bailojia
Ndio mwanamke ajui na ni ngum kujua nin anataka
 
Sawa. Ila %kubwa ndivyo mlivyo au nimekugusa..? Wanawake nyie ni mama zetu, dada zetu ila hata dini zilishasema tuishi nanyi kwa akili. Mwanamke anaweza kumuacha mtu aliye naye kisa pesa akafika kwa mwenye pesa akarudi tena kwa mwenye shida. Tatizo wanawake hamna msimamo wengi wenu sio wote. Ikiwa tu mahusiano muna yageuza ajira. Nyie wengi wenu ni mkono mtupu haulambwi.
Wewe una mawazo finyu ya ku assume vitu.

Ume assume kila anayetetea wanawake ni mwanamke.

Mimi si mwanamke.

Mpaka hapo tu ushaonesha mawazo yako yalivyo finyu.

Na kuhusu hiyo asilimia kubwa, huna data, unakwenda kwa hisia tu.

Na hata kama ikiwa 99% ya wanawake wako hivyo, wanataka wanaume waliofanikiwa tayari, so what?

Wana uhuru wa kuchagua mwanamme wanayemtaka. Waache watafute kutimiza ndoto zao. Unataka kuwalazimisha wapende wasichopenda?

Sasa unataka kuwalazimisha wawe na mwanamme ambaye hawamtaki?

Wewe kama ni peasant hangaika na hiyo 1% ya wanaotaka peasants wenzako.

Kwa nini unawafuatilia sana watu wasiokutaka na unaacha kuwafuatilia sana watu wanaokutaka?
 
Ndio mwanamke ajui na ni ngum kujua nin anataka
Mwanamme anatakiwa kuachana na mwanamke asiyejua nini anataka, mwanamme atafute/ akae na mwanamke anayeendana naye na anayejua nini anataka.

Mwanamme ukishakuwa na wako mnayeendana, acha kulalamikia wanawake wasiokuhusu.

Hiyo ni tabia ya wanaume wakosaji na wasiojielewa
 
Unyanyapaa mwingi wa wanawake kutoka kwa wanaume unatokana na mambo haya.

1. Tabia ya kwenda na hisia badala ya data.
2. Tabia ya kulundika watu kwa makundi kimajungu bila utafiti.
3. Hisia za frustration za wanaume wakosaji waliokataliwa na wanawake kwa sababu ya uwezo wao mdogo wa kiakili, kiuchumi na pengine kiakili na kiuchumi
4. Kukosa elimu na uelewa wa haki za msingi za wanawake za autonomy na self-determination
5.Imani potofu za kidini zinazoendekeza mfumodume, ubarubaru na uonevu kwa wanawake.

Hat kama ni kweli wanawake wengi wanapenda wanaume waliofanikiwa, hiyo ni haki yao ya kikatiba na kibinadamu.

Waache waende wanapotaka, kama vile wewe wasivyokulazimisha uende usipotaka.

Tafuta wako manyeendana naye, achana na usioendana nao.

Ama sivyo, utalazimisha kuwa na usiyeendana naye, atakufilisi, atakudharau na kukuvunjia heshima, unaweza kuishia kumuua bure.
 
Mwamba Shabba Ranks anasema ana trela limejaa wanawake mpaka anahitaji Custom Officer amsaidie kuwa clear off.

Wanaume mnaolialia mnatakiwa kuchukua notes kwa Shabba hapa.

Ndiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetu
Mkuu hivi kwani akitangulia mke unataka akuachie nini ambacho wewe utawapa watoto au yeye akitangulia wewe utashindwa kutafuta pesa kuhudumia watoto
 
Back
Top Bottom