Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza sana ukikutana nao huku kitaa utaskia "MI NNA MTU WANGU" lakini wakiingia mitandaoni wanalalamika hawapati wanaume na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kuwalaumu wanaume wanaoishi na mke mmoja kwa kuwataka waongeze idadi!
Jamani wanawake mnachokitafuta ni nini hasa?
Baadhi ya watu kwenye jamii yetu wana tabia mbaya sana ya kuwalundika watu pamoja.Nimecheka sana mkuu.
Una majibu fulani mafupi yenye kueleweka na ucheshi ndani yake.
Ukifika umri wa "Bwana tenda miujiza" utaacha ubaguzi. Endelea kuchagua.Mtu kutaka kuolewa haimaanishi yuko tayari kuokota kitu chochote na kukifanya mume
Ndiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetuUkianza kuwaelewa wanawake wanachotaka just unaelekea kufa
Wanajua wewe huwezi kumuua mwanamke sababu ya Mali lakini wao wako tayari kuua sababu ya Mali zako.Ndiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetu
Thibitisha kuwa akili ipo au haipo kwa ushahidi wa kuonekana/kushikika (visible/tangible evidence) [emoji19].Wewe akili yako fupi ndipo ilipoishia hapo, huwezi kuleta hoja hapa, unaishia kwenye viroja.
Akili ni nini?Thibitisha kuwa akili ipo au haipo kwa ushahidi wa kuonekana/kushikika (visible/tangible evidence) [emoji19].
Kuna wanaume wamepigwa vibuti, wanakuja kumalizia machungu yao hapa JF kwa kuwanyanyapaa wanawake kiujumla.Labda kakuona huna vigezo vyake, kaamua kukuambia in a polite way,lol, kwa lugha nyingine..bado anatafuta mume wa ndoto zake.
Hata kama hilo ni kweli -which is debatable- hiyo ni haki yao.shida yao wanataka walio fanikiwa tayari ilihali wao wenyewe bado wapo kwenye struggling.
Sawa. Ila %kubwa ndivyo mlivyo au nimekugusa..? Wanawake nyie ni mama zetu, dada zetu ila hata dini zilishasema tuishi nanyi kwa akili. Mwanamke anaweza kumuacha mtu aliye naye kisa pesa akafika kwa mwenye pesa akarudi tena kwa mwenye shida. Tatizo wanawake hamna msimamo wengi wenu sio wote. Ikiwa tu mahusiano muna yageuza ajira. Nyie wengi wenu ni mkono mtupu haulambwi.Hata kama hilo ni kweli -which is debatable- hiyo ni haki yao.
Pia, wanawake wako wengi.
Haiyumkiniki kwamba kila mwanamke anataka mwanamme aliyefanikiwa tayari.
Kwa hivyo, unachotakiwa ni kutafuta mnayeendana, hao wanaotafuta aliyefanikiwa tayari, kama si type yako, si unawaacha tu?
Kwa nini watu wasi focus kwenye wanawake wanaoendana nao na wanaona kuwasengenya wanawake ambao hawaendani nao ni kitu muhinu?
Ndio mwanamke ajui na ni ngum kujua nin anatakaNi kweli na kwa akili hizi za kutojitambua nini hasa unataka plus mood swings mnazokua nazo Mungu aliamua amfanye mwanaume awe mtawala wa viumbe vyote duniani mkiwemo na nyinyi
Na pia kuitawala na kuiongoza dunia katika nyanja zote za kisayansi, kiuchumi , kiutamaduni ,kidini ,kijamii
That why different scholars from ancient time ,mediviel peroid until now binadamu wana m refer Kama au wanamuita "man " licha ya kujua man ni mwanaume na woman ni mwanamke hata vitabu mbalimbali kama vya historia na bailojia
Wewe una mawazo finyu ya ku assume vitu.Sawa. Ila %kubwa ndivyo mlivyo au nimekugusa..? Wanawake nyie ni mama zetu, dada zetu ila hata dini zilishasema tuishi nanyi kwa akili. Mwanamke anaweza kumuacha mtu aliye naye kisa pesa akafika kwa mwenye pesa akarudi tena kwa mwenye shida. Tatizo wanawake hamna msimamo wengi wenu sio wote. Ikiwa tu mahusiano muna yageuza ajira. Nyie wengi wenu ni mkono mtupu haulambwi.
Mwanamme anatakiwa kuachana na mwanamke asiyejua nini anataka, mwanamme atafute/ akae na mwanamke anayeendana naye na anayejua nini anataka.Ndio mwanamke ajui na ni ngum kujua nin anataka
Mkuu hivi kwani akitangulia mke unataka akuachie nini ambacho wewe utawapa watoto au yeye akitangulia wewe utashindwa kutafuta pesa kuhudumia watotoNdiyo maana ukiwaambia tuuze nyumba, wanakuambia tuuze na wewe ukifa mimi na watoto tukaishi wapi ...assumption yao ni kuwa mwanaume ni mtu wa kutangulia kufa kabla yao, wanaujua udhaifu wetu
Ndio umri gani huo?Ukifika umri wa "Bwana tenda miujiza" utaacha ubaguzi. Endelea kuchagua.
Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app