Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Eti ananuka ninii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fambaf zako[emoji16]
 
Jamani wapo wanaume wenye umri mkubwa na wana nguvu sana, inategemeana na lifestyle ama magonjwa, tofautu ya miaka 13- 20 sio kubwq kushindwa kumudu nguvu ya mwanamke kingono, tusidanganyane hata hao unaowasema wakipata vijana bado utakuta hatulii na mmoja, ni hulka yao tu ya kupenda mikito tofauti tofauti,

Tatizo lenu mnajadili mahusiano yanayotofautiana miaka 25 na kuendelea,

ila mwanaume wa umri wowote anaemzidi mwanamke kwa umri wa miaka 15-18 anammudu mwanamke vizuri mno, nyanja zote, muonekano sie tunawahi kuzeeka hivyo mtaonekana km mnalingana, kitandani fresh, kimaisha, kiuchumi kiushauri na kimalezi tofauti hiyo haitishi,
 
Nasikia ile kitu moshi wake ni miaka 7 kichwani..
Nawe mara ya mwisho lini mzee mwenzangu we ili nipate picha kamili [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zima hiyo kitu Mzee mwenzangu...
 
Hapo ndo mnapojidanganyaga sana wanawake wakibongo. Lazim ujue swala moja; mwanaume sio umri wala akili, mwanaume ni ule uanaume ulioko ndani yake. Ndo mana saiz kama umeona unakuta vijana weng umri wa 30-45 wameoa lkn bado wanafanya mambo ya kitoto kama mtoto wa miaka 12. The poit is age haimanishi kuwa ndio uanaume kaimil yani unaweza ukaolew na dgo uliyemuacha hata miaka 10 lkn akakutriti kiume na akitoa amri unatii nakuogopa kabsa.
 
Yani nimuogope dogo naemzidi 10 yrs😂😂😂😂😂😂sio kikombe changu hicho,, hatukui kwa kurudi nyuma kua kua kwanza hizi sifa utazikuta tu usiumie sana mtoto mzuri
 
Kuna mtoto sikuhizi? wangu nimempita 16yrs wakati tunaanza alikuwa 20yrs nami nikawa najiona mtoto kasheshe sasa naanza kuzeeka naitwa babu nalazimishwa kuvaa vimodo niwe kijana hapo nishazaa naye watoto wawili angekuwa si mgonjwagonjwa nadhani wangekuwa Wa nne watoto yaani gap Wa kwanza Ana 9yrs old na Wa pili mwaka miezi 8 nafikiria akikaa sawa nipachike nyingine, next year Nagonga 50yrs old yeye bado 34yrs old

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 

Sawa mkuu nimekupata vyema.
 
Siwashauri wakuu mimi ni mtoto victim wa hayo mahusiano mzee wangu alikuwa na 34 akaoa binti wa 19 maisha yao kiujumla sitaki kuja kuwa na familia kama ile ata wao wananishauli hilo.
 
Wanawake wengi wanapenda hiyo age gape. Wanaamini mwanaume anakua matured tayari.

Binafsi mimi kwangu hapana, ntaboreka, Mi napenda gape 0-5 tukue pamoja, tuzeeke pamoja na tutafute pamoja.
Hivi Z Anto wetu ulimficha kisiwa kipi? Hatumsikii tena siku hizi
 
Umemaliza mkuu Binti chini ya miaka 27 wengi wao sio wote ni pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…