Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Tatizo unataka tukubaliane na fikra zako, wapo mabinti walioolewa na 20 au chini ya hapo na wanaume wanaowazidi, miaka 10-20 na wakadumu,,

Ijapokuwa umri huo 20-25, ni umri sumbufu kwa wanawake maana anakuwa hot hivyo rika lake wwtamsumbua lakini watamchezea tu na kumdampo hapo, akiongeza miaka 2-3 mingine akili inamkaa ndo atajua mwanaume wa kweli yukoje na Yuko wapi,, Sasa Basi Kama mwanamke unamzidi sana na unamuhitaji kwq mahusiano marefu,, mtafute akiwa kwenye late 20's mpk mid 30's, hawezi kukuletea drama za kijinga, sababu kashavuka umri wenye ujinga mwingi,

Binafsi yangu kitu sikiwezi Ni kuwa na mwanaume mdogo naelingana nae au namzidi sababu sijui kumfundisha mwanaume kabisa na sio asili ya mwanamke kumfundisha mwanaume,, pia sie akili yetu ktk mahusiano iko mbele kww miaka 10 zaidi ya wanaume, Yani binti mwenye miaka 25 anaweza kuhimili akili ya mwanaume wa miaka 40 na zaidi tofautu na mwanaume mwenye miaka 25 bado ananuka hata pumbu,,
Eti ananuka ninii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fambaf zako[emoji16]
 
Ni kweli kabisa, ila kuna hoja jamaa mmoja umu katoa kua wanawake mkishafikia umri wa30 na mkawa na maisha yasio na stress hua mnakuasexual active sana, nalishuhudia ili sana kwa workmate wenzangu sema wengi ni wasimbe(hawako kwenye ndoa kwa sababu tofautitofauti)

Hata mimi nilikua nawaza ilo swala uzuri mke wangu nimemzidi miaka michache(5) ila tungekua tumepishana gep kubwa hii ingenipa stress maana naona wengi age mate wangu wanawake wanasumbua sana vijana sijui kwanini! hasa hawa vijana sector za Afya&Matibabu ndo wanashobokewa sana na wamama.
Jamani wapo wanaume wenye umri mkubwa na wana nguvu sana, inategemeana na lifestyle ama magonjwa, tofautu ya miaka 13- 20 sio kubwq kushindwa kumudu nguvu ya mwanamke kingono, tusidanganyane hata hao unaowasema wakipata vijana bado utakuta hatulii na mmoja, ni hulka yao tu ya kupenda mikito tofauti tofauti,

Tatizo lenu mnajadili mahusiano yanayotofautiana miaka 25 na kuendelea,

ila mwanaume wa umri wowote anaemzidi mwanamke kwa umri wa miaka 15-18 anammudu mwanamke vizuri mno, nyanja zote, muonekano sie tunawahi kuzeeka hivyo mtaonekana km mnalingana, kitandani fresh, kimaisha, kiuchumi kiushauri na kimalezi tofauti hiyo haitishi,
 
Nasikia ile kitu moshi wake ni miaka 7 kichwani..
Nawe mara ya mwisho lini mzee mwenzangu we ili nipate picha kamili [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zima hiyo kitu Mzee mwenzangu...
 
Tatizo unataka tukubaliane na fikra zako, wapo mabinti walioolewa na 20 au chini ya hapo na wanaume wanaowazidi, miaka 10-20 na wakadumu,,

Ijapokuwa umri huo 20-25, ni umri sumbufu kwa wanawake maana anakuwa hot hivyo rika lake wwtamsumbua lakini watamchezea tu na kumdampo hapo, akiongeza miaka 2-3 mingine akili inamkaa ndo atajua mwanaume wa kweli yukoje na Yuko wapi,, Sasa Basi Kama mwanamke unamzidi sana na unamuhitaji kwq mahusiano marefu,, mtafute akiwa kwenye late 20's mpk mid 30's, hawezi kukuletea drama za kijinga, sababu kashavuka umri wenye ujinga mwingi,

Binafsi yangu kitu sikiwezi Ni kuwa na mwanaume mdogo naelingana nae au namzidi sababu sijui kumfundisha mwanaume kabisa na sio asili ya mwanamke kumfundisha mwanaume,, pia sie akili yetu ktk mahusiano iko mbele kww miaka 10 zaidi ya wanaume, Yani binti mwenye miaka 25 anaweza kuhimili akili ya mwanaume wa miaka 40 na zaidi tofautu na mwanaume mwenye miaka 25 bado ananuka hata pumbu,,
Hapo ndo mnapojidanganyaga sana wanawake wakibongo. Lazim ujue swala moja; mwanaume sio umri wala akili, mwanaume ni ule uanaume ulioko ndani yake. Ndo mana saiz kama umeona unakuta vijana weng umri wa 30-45 wameoa lkn bado wanafanya mambo ya kitoto kama mtoto wa miaka 12. The poit is age haimanishi kuwa ndio uanaume kaimil yani unaweza ukaolew na dgo uliyemuacha hata miaka 10 lkn akakutriti kiume na akitoa amri unatii nakuogopa kabsa.
 
Yani nimuogope dogo naemzidi 10 yrs😂😂😂😂😂😂sio kikombe changu hicho,, hatukui kwa kurudi nyuma kua kua kwanza hizi sifa utazikuta tu usiumie sana mtoto mzuri
 
Kuna mtoto sikuhizi? wangu nimempita 16yrs wakati tunaanza alikuwa 20yrs nami nikawa najiona mtoto kasheshe sasa naanza kuzeeka naitwa babu nalazimishwa kuvaa vimodo niwe kijana hapo nishazaa naye watoto wawili angekuwa si mgonjwagonjwa nadhani wangekuwa Wa nne watoto yaani gap Wa kwanza Ana 9yrs old na Wa pili mwaka miezi 8 nafikiria akikaa sawa nipachike nyingine, next year Nagonga 50yrs old yeye bado 34yrs old

Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
 
Jamani wapo wanaume wenye umri mkubwa na wana nguvu sana, inategemeana na lifestyle ama magonjwa, tofautu ya miaka 13- 20 sio kubwq kushindwa kumudu nguvu ya mwanamke kingono, tusidanganyane hata hao unaowasema wakipata vijana bado utakuta hatulii na mmoja, ni hulka yao tu ya kupenda mikito tofauti tofauti,

Tatizo lenu mnajadili mahusiano yanayotofautiana miaka 25 na kuendelea,

ila mwanaume wa umri wowote anaemzidi mwanamke kwa umri wa miaka 15-18 anammudu mwanamke vizuri mno, nyanja zote, muonekano sie tunawahi kuzeeka hivyo mtaonekana km mnalingana, kitandani fresh, kimaisha, kiuchumi kiushauri na kimalezi tofauti hiyo haitishi,

Sawa mkuu nimekupata vyema.
 
Siwashauri wakuu mimi ni mtoto victim wa hayo mahusiano mzee wangu alikuwa na 34 akaoa binti wa 19 maisha yao kiujumla sitaki kuja kuwa na familia kama ile ata wao wananishauli hilo.
 
Wanawake wengi wanapenda hiyo age gape. Wanaamini mwanaume anakua matured tayari.

Binafsi mimi kwangu hapana, ntaboreka, Mi napenda gape 0-5 tukue pamoja, tuzeeke pamoja na tutafute pamoja.
Hivi Z Anto wetu ulimficha kisiwa kipi? Hatumsikii tena siku hizi
 
Msichokielewa ni kuwa wanawake wengi wa humu ni 30+ years of age. Sio rahisi binti wa miaka 21 akaanza kuwaza kutoka na mtu wa miaka 45 wakati yuko katika pool ya vijana wengi wa 25-30yrs. Labda demu mshamba asiyejitambua.

Kwa mtoto wa kike peak years ni 18-24 hapo ambapo wengi anaovutiwa nao ni age mates na gap linaongezeka kidogo anapo approach 26-28yrs.

Mwanamke akishafika lets say 30-35 yrs kwake si rahisi ku date na kijana age mate wake sababu aakuwa nje ya soko la vijana tayari.

Option iliobaki inakuwa ni kudate na mtu mwenye 10-15yrs older na wengi huona fahari sababu wanaume wengi wa huo umri wanakuwa tayari wame stabilize kimaisha, wengine wana wake na familia zao na ambao hawajaoa wanakuwa wana financial muscles na incase ya ndoa ni rahisi kuoa hawa wanawake sababu wanakuwa na uwezo ishu ni kushawishiwa tu.

KE wengi wanachoinjoy humo ni lile penzi linaloambatana na spoiling ama uchakavu wa mapene, anacholilia kinapatikana kwa wakati. Ila cha ajabu wauza kahawa wengi wapo wenye age hizo ila huwezi sikia wakiongelewa na hawa mademu,,, tafakari!!!😂
Umemaliza mkuu Binti chini ya miaka 27 wengi wao sio wote ni pasua kichwa
 
Back
Top Bottom