Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Wanawake mnatuchukuliaje sisi Wanaume?

Dah kweli Gily una jisahau yaani mi nikacheze na mshamba_hachekwi huyu 4m 4 liva wa Mwaka Jana🤔😂😂.
👉Sema dogs mnafiki kinyama, nntakuja nikate kende zake nikawauzie wazee wa aptocalypto a.k.a jaguar😂😂
🤣🤣 the dude was done with form four last year?
aisee sasa nina uhakika hajawah kula hata mbususu ngoja nitampitisha pande za uwanja wa fisi akale mbusus ya fisi mwenzake
 
Ukweli mm ni dume ila sijawai kujuana na kukutana na mwanamke yeyote hapa jf uwa sipendi kukutana na mtu ambaye simjui kwangu mimi ni ngumu Sana.
Binafs
nishakutana nao Kama 8 hivi nje ya jf.
Kirafiki& kibiashara zaidi,sio kimahusiano
Ni watu POA sana, msema kweli mpenz wa mungu[emoji1431][emoji4]
 
Kiusalama hapana kila siku nacharurana na wakina mwigulu na makamba humu halafu nikutane na mtu wa humu mh!!! Siwezi

Ayo nitafanya instagram, telegram, whatsapp etc but sio hapa weeee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji125]
Nyie watu wa siasa lazima muishi kwa machale Kama nguchiro,maana mna maadui wengi[emoji1]
 
Dah kweli Gily una jisahau yaani mi nikacheze na mshamba_hachekwi huyu 4m 4 liva wa Mwaka Jana[emoji848][emoji23][emoji23].
[emoji117]Sema dogs mnafiki kinyama, nntakuja nikate kende zake nikawauzie wazee wa aptocalypto a.k.a jaguar[emoji23][emoji23]
He he he.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom