Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Mnamdanganya.Mpeni ushauri wa kujenga.Msimjaze hasira zizaazo sonona.Ndugu wajumbe ninadhani tuufunge huo. Hii ni comment bora zaidi kwa mazingira haya uzi huu.
Nadhani kama ulivyosema ndugu mchangiaji kufokewa sio shida kwa mjumbe. Shida anafokewa mbele ya watoto/dada wa kazi na kwa makosa hayapo.Ndio kila saa? Hamjawahi kufokewa sawasawa nyie ndio maana mnaongea ongea, look, ukiishi na mtu anayekufokea fokea matokeo yake atakunyima confidence kabisa, utajiona kila kitu huwezi ama unakosea, if this is something ya'll want. (Kuwanyima wenzenu confidence)
Kila kitu kiwe na kiasi. Mtu afoke kama amekasirishwa (fair! ili na yeye aweze kurelease hasira iliyopo kifuani) maana kumnyima binadamu kufoka kabisa ni kudictate hisia zake. Napo tena sio amfokee mkewe hadharani amwite huko chumbani afoke awezavyo yaishe kama anaona hawezi ongea kawaida.
Sasa ya kufoka kila saa huoni ni tatizo?
Uwe radhi kusikia na kukubali maoni na mawazo ya wenzio.Mnamdanganya.Mpeni ushauri wa kujenga.Msimjaze hasira zizaazo sonona.
Kukubali na kusoma mawazo ya wengine hakunizuii kuwashauri tena.Au tushauriane kutokushauriana kushauriana?Uwe radhi kusikia na kukubali maoni na mawazo ya wenzio.
Kukubali na kusoma mawazo ya wengine hakunizuii kuwashauri tena.Au tushauriane kutokushauriana kushaurianaUwe radhi kusikia na kukubali maoni na mawazo ya wenzio.
Kama nataka kukuelewa ila kuna sehemu nakwama.Kwa hiyo mwanamke akifokewa sana (kwa mdomo na mwenza wake)atafute mchepuko utulize sehemu zake za siri?Ni nini hiki?Hebu shaurini kujenga aisee!Mpeni mbinu za kutafuta chanzo cha kufokewa na atatue vipi bila kuanzisha tatizo lingine.Kufoka Mara moja si vibaya! Lakini kufoka kila muda HAIFAI! na inakera sana!
Mimi ni mwanaume nafaham kuna maudhi madogo ya mke kukosea vitu vidogo ndani ya nyumba!
Chanzo kikuu huwa ni kutokuyafanyia kazi maelekezo ya awali.
Mfano, mume anaweza kuwa hapendi vyakula vya mafuta anakueleza kwa upole kwamba usiweke mafuta iwe chukuchuku tu kama ni nyama n.k unaitika sawa! Lakini kesho yake unapika nakuunga na mafuta,
Anakula anakukumbusha tena mafuta hapendi, unaitika sawa, baada ya siku tena unampikia mafuta mafuta!
Hapo huwa inaanza kuibua makasiriko taratibu,
Kingine akikutuma kitu anakupa maelekezo vizuri lakini ukienda hufanyi kama alivyokuagiza akirudi anakuta umedambanga dambanga hovyo, mbaya zaidi hata na pesa umetapeliwa Hii hupandisha kiwango cha KUFOKA!
Kuna mambo ambayo mke akiyakosea kosea kila wakati mwanaume huanza kuwaza mbona kule wanawake wengine wanaelewa na kujisimamia vizuri lakini huyu Pimbi wangu hanielewi navyomulekeza!...hivyo mambo haya hupandisha hasira taratibu hadi mwanaume ANAKUWA WA KUFOKA FOKA!
Ingawa SAA NYINGINE KUNA WANAUME WAKORA Hasa wa kichaga wanapenda kufoka tu kama fala paspo sababu! Wa hivi hawana tiba hata umlambe miguu dawa nikuondoka, kama huwezi kutoka basi tafta mchepuko akugongee taratibu siku ziende!
TURUDI mume ambaye tabia za mke kukosa umakini kwenye maelekezo ya Mme!
Mume wa hivi tiba yake ni kwanza kutambua unakosea! Dawa yake ni kutafta muda kumkalisha mume na kumuahidi kwamba UTAONGEZA UMAKINI na USIKIVU kwake.
pili kama kitu hujaelewa muulize MUME WANGU ULICHONITUMA SIJAELEWA Ebu nielekeze tena! Usifanye kama hujaelewa! Hii itaanza kushusha masiriko na kuongeza imani kwamba unaweza Fanya vizuri kwa kuhisimamia!
Akikutuma kitu hakikisha unarudi kimetiki, hii inaongeza sana imani kwa mume anaona na kujisifu.
Mimi na mke wangu ananikera sana kwenye ishu ya maelekezo! Unaweza mwambia njoo hapa POSTA ASKARI MONAMENT! anakuitikia sawa ...lakini utashangaa anakwambia nimefika njoo, ukimuangaza haonekani, ukimuuliza ebu nisomee jengo lolote unaloona hapo utasikia anakujibu naona pameandikwa CENTRAL POLICE!
unamuuliza ulinielewa nilivyokuambia uje mnara wa askari? Anakujibu dear ndiyo ebu nielekeze mi nilizani sentro!
Mara nyingi sana ananikwaza kwasababu wakati wa kumpa maelekezo huwa haelewi na wala haulizi! Mambo hayo huibua sana hasira!
Kibaya zaidi ukimwambia naomba nikufundishe kutumia GpS uwe unasoma location anakujibu anaelewa! Lakini maelekezo haelew!
KIBAYA ZAIDI ANAONA SAWA TU SHE IS PERFECT UKIMKOSOA MBISHI!
sasa MTU kama huyu kwakweli anachangia sana makasiliko na kuondoa mudi hata kutoka!
Mwanamke anaesikiliza maelekezo ni MZURI SANA! Kwanza huwa anaongeza ujasiri kwa mumewe!
Kuna wanawake ukiwa kichwa cha habari tu na pesa akirudi kamaliza hadi na zaidi yaani very genius!
Ukimtuma jambo analifanya vizuri hadi wewe uliye mtuma unaona usingeweza! UNAANZAJE KUMFOKEA MWANAMKE MZURI KAMA HUYU!!?
Lakini kuna wengine Bomu kabisa ukimpa pesa picha linaanza anarudi katapeliwa! Akipika chakula bora lende, mgogoro wa majilani hamalizi hadi urudi wewe jamani! INABOA SANA!
Kuna wanawake huko unamkuta kalinzisha varaganti unafanya kumkuta polisi ukamuwekee dhamana! Hataki masiahara kusubiri hadi Mme arudi! Hii inaongeza sana IMANI KWA MUME!
ZINGATIO! Mwanaume anaefoka pasipo sababu hafai kuishi naye hata kidogo, lakini vile vyanzo vingine vinatibika
Sasa usihisi mawazo yako ni bora zaidi. Klia mtu atoe mawazo yake aliyaomba ushauri ni mtu mzima atachuja achukue yanayofaa kwa mazingira yake.Kukubali na kusoma mawazo ya wengine hakunizuii kuwashauri tena.Au tushauriane kutokushauriana kushauriana?
Kazi kweli.Tusiende kwa kuhisi.Hata hivyo,maisha yaendelee.ππππSasa usihisi mawazo yako ni bora zaidi. Klia mtu atoe mawazo yake aliyaomba ushauri ni mtu mzima atachuja achukue yanayofaa kwa mazingira yake.
Soma tena maelekezo hapo juu kwa kutulia nisije kukufokea hapa!Kukubali na kusoma mawazo ya wengine hakunizuii kuwashauri tena.Au tushauriane kutokushauriana kushauriana
Kama nataka kukuelewa ila kuna sehemu nakwama.Kwa hiyo mwanamke akifokewa sana (kwa mdomo na mwenza wake)atafute mchepuko utulize sehemu zake za siri?Ni nini hiki?Hebu shaurini kujenga aisee!Mpeni mbinu za kutafuta chanzo cha kufokewa na atatue vipi bila kuanzisha tatizo lingine.
Yes yesSasa usihisi mawazo yako ni bora zaidi. Klia mtu atoe mawazo yake aliyaomba ushauri ni mtu mzima atachuja achukue yanayofaa kwa mazingira yake.
Nimesoma tena ila mbichwa umekataa kukubali aisee!Yani mtu ana changamoto.Siiti tatizo.Changamoto hutatuliwa na tatizo hupambaniwa hadi liondoke.Ni kwamba,mtu kaomba ushauri wa utatuzi halafu anapewa njia ya kuongeza changamoto?Hii imefungiwa duniani hadi peponi.ππππSoma tena maelekezo hapo juu kwa kutulia nisije kukufokea hapa!
Kumuacha mtu achague njia ni kama kumtega.Kwamba umemtelekeza.Atajijua.Mpe the very direct and specific means of rescuring the situation.Yes yes
Ukiomba ushauri kwamba huu mzigo kichwani Niutue au ubaki kichwani!Nimesoma tena ila mbichwa umekataa kukubali aisee!Yani mtu ana changamoto.Siiti tatizo.Changamoto hutatuliwa na tatizo hupambaniwa hadi liondoke.Ni kwamba,mtu kaomba ushauri wa utatuzi halafu anapewa njia ya kuongeza changamoto?Hii imefungiwa duniani hadi peponi.ππππ
Kuna mtu wa kunifokea dunia hii?Ni Mungu tu.Mimi ndiye baba na kiongozi.Sehemu tunayopishana ni;Ukiomba ushauri kwamba huu mzigo kichwani Niutue au ubaki kichwani!
Tutakujibu kama ni mwepesi ubebe hivyohivyo kama kofia, lakini kama mzito shusha, kama mzigo hauna faida tupilia mbali!
BADO HUELEWI? Basi ndiyo maana mnafokewa kumbe!
Kwa hiyo,kumbe kufoka ni part and parcel ya mwanaume.Ni namna ya kuidhibiti tu.ππππMimi automatic tu nisipokuwa na pesa zinanazoshangaa shangaa karibu karibu yaani ndani ,mfukoni au kwenye gari nakuwa mkali na majibu ya mkato sina raha kabisa,sio kwa mke tu hata simu za washkaji naona usumbufu tu kuongea nao.
Nikizipata ndo amani ya moyo inarudi nakuwa mtu.
Kabisa kabisa ni kawaida unakoroma kiaina halafu unapotezea hata usiku kazi ya kuomba mchezo inakuwa sio ngumu sana πππKwa hiyo,kumbe kufoka ni part and parcel ya mwanaume.Ni namna ya kuidhibiti tu.ππππ
Nimeeleza mengi sana kwenye ushauri !Kuna mtu wa kunifokea dunia hii?Ni Mungu tu.Mimi ndiye baba na kiongozi.Sehemu tunayopishana ni;
-kumshauri mtu atafute mchepuko ili atulize kufokewa,
-kumshauri mtu aiache/aivunje ndoa yake kwa sababu tu wanafokewa.
Hii hapana.Kwa nini asielelezwe kutafuta sababu za kufokewa?Je,huwa anafanyia kazi dosari alizofanya mwanzo ili zisijirudie na kufokewa tena?Je,amechunguza iwapo mumewe ana msongo wa mawazo na changamoto zingine sehemu ya kazi?Je,mume ana historia ya matatizo ya akili?Hapohapo,yeye mke ametulia na kujiuliza ana changamoto gani ambayo ni kero kwa mwenza?Vipi kuhusu watoto na dada msaidizi,wanamkwaza baba?Amejitahidi vipi kuwaweka sawa?Kuna gunia la maswali kabla ya ushauri wa kubomoa mkuu.
Usimuogope mumeo, muheshimuMimi mdomo wangu unaishia jf....naogopa wanaume[emoji1787]