Wanawake ndoa ni utii, acheni kujaza ujinga wadogo zenu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Hakuna usawa Kati ya mwanamke na mwanaume na hautokuja kutokea.... ukiona unatoka nyumbani huombi ruhusa Bali unatoa taarifa na ukirudi mume hata hakukosi Kosi na kibao, ujue hapo huna ndoa, tafuta shughuli nyingine ya kufanya
πŸ’―πŸ€
 
we mtii mumeo, hakikisha unamtunza kuanzia jicho lake (ujiweke vizuri wewe na nyumba yako), pua yake (unukie vizuri), tumbo lake(mpikie chakula kizuri), mwili wake (mavazi yake yawe masafi) na masikio yake (asisikie maneno ya kero kutoka kwako)...
πŸ’―πŸ€
 
Kungwi mchepukoo,kungwi kkaachika kwenye ndoa [emoji38][emoji38][emoji38]kwa kosa la kufumaniwa
Unategemea Nini!???mfyuuuu

Kungwi ni dadapoa
Kungwi Sagaji
Kungwi lilishashindikana nyumbani kwenye mabaraza ya Makanisa, masheikhe, na serikali za mitaa alafu kuna panyabuku wanamsikiliza
 
Umemaliza points zote
 
Kungwi ni dadapoa
Kungwi Sagaji
Kungwi lilishashindikana nyumbani kwenye mabaraza ya Makanisa, masheikhe, na serikali za mitaa alafu kuna panyabuku wanamsikiliza
🀣🀣🀣 Mie kungwi wangu kashaachika kitambo, tena ndoa mbili na engagement moja🀣🀣 Ila mwari wake nipo nadunda, Hadi kuzikana Insha'Allah.
 
🀣🀣🀣 Mie kungwi wangu kashaachika kitambo, tena ndoa mbili na engagement moja🀣🀣 Ila mwari wake nipo nadunda, Hadi kuzikana Insha'Allah.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwenye ndoa kuna mambo mawili, Upendo, pili, kuelewana kunakitokana na Uwiano wa Hekima baina ya wanandoa
 
Mamy K baada ya yote mazuri uliyosema kuhusu mke mwema, naongezea mke pia awe mtundu kitandani mume atafurahi zaidi.

Mtuonyeshe mahaba kunoga msituonee aibu hakuna mume atakayekuona malaya bali atainjoi.

Fungukeni nini tuwafanyie mfurahie shoo
 
😍😍😍 Haya ndio maneno sasa.
mawardat Kelsea Aaliyyah njooni mpate somo. Sio oh mie napenda tall dark and handsome. Kuoenda huko kumeanza lini
 
Kwahyo ni Kuachanaa tyuuh.
Mambo mengine yote tutakaa tuongee, ila dharau inayodhalilisha utu na uanaume wangu, tutaachana there is no healing for that. Kwasababu utakuwa umenidhalilisha mimi na wazazi wangu walionizaa, na hatua zote za mwanzoni zakujitambulisha ni za kinafiki. So, kila mtu atambae njia yake.
 
Feminism, Human Rights ni hoja za shetani

Mungu aliposema pale Eden alimaanisha

Katuacha tujiamulie ili mwisho tuchomwe vizuri

Ameacha Ngano na Magugu yaote pamoja, yatatenganishwa siku ya mavuno

Mungu akitaka hata sasa ataharibu kila kitu ila katuachia Neema ili tuweze okolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…