Wanawake punguzeni kuomba omba hela

Jaman kila leo tunasema humu wee unaona wanawake wanakuzonga wanataka hela si uachane nao shida ipo wapi? Mbona wengi mnapenda kujiletea mastress kumbe unaweza ukaamua kukaa mwenyewe na maisha yakasonga bila kugombezana na watu, jipeni amani kataeni omba omba wakatafute wanaowezana nao nyie pambaneni na hali zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhiki dhiki zimewajaa wanawake wa sasa.

Njaa njaa zitawamaliza
 
Eehe kumekuchaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waache kutongoza vitoto, jobless itawasaidia....videnti vinaomba sana hela nikubadiri mfumo,eiza watafute mashangazi au wakanunue madabwada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…