Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;

~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.

~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili kujikwamua kiuchumi.

~ Wanawake wengi wanatichukulia wanaume kama gari la mshara.

~ Siku hizi hawajali wala hawataki habari za kiridhishwa wala kufikishwa kileleni, hela yako ndio nguvu za kiume.

~ Inchi 6 au 7 sio dili tena, wanaume tutafute hela tuache kushinda gym maana hela ndio six pack sasa hivi, usijichoshe na mivyuma.

Ukiwa na hela hutosikia ukiitwa kibamia hata mkiichana kwa muda, maana wanakauli yao siku hizi inasema "Mwenye hela hanyimwi utamu hata kama mmeachana!"

USHAURI: Wanaume wenzangu hawa wanawake tuwachakate tu, tusiwaoe, hawana shukrani.
Jipigie makofi kwa kulijua hili
 
Kwavile umekutana na Vimeo, umepigwa pesa basi unafikiri wote....
Shauri yako Kuna wenzio Wana enjoy tu hata pesa hawana ni mapenzi tu
Huyo demu atakuwa Sura ngumu au mtu Pori , pisi kali anayejipenda hawezi date na mtu Hana hela, hyo haipo , ili apendeze anahtaji Gharama hzo Gharama atatoa wapi ? Lazima ahudumiwe tuu
 
Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo;

~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa.

~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili kujikwamua kiuchumi.

~ Wanawake wengi wanatichukulia wanaume kama gari la mshara.

~ Siku hizi hawajali wala hawataki habari za kiridhishwa wala kufikishwa kileleni, hela yako ndio nguvu za kiume.

~ Inchi 6 au 7 sio dili tena, wanaume tutafute hela tuache kushinda gym maana hela ndio six pack sasa hivi, usijichoshe na mivyuma.

Ukiwa na hela hutosikia ukiitwa kibamia hata mkiichana kwa muda, maana wanakauli yao siku hizi inasema "Mwenye hela hanyimwi utamu hata kama mmeachana!"

USHAURI: Wanaume wenzangu hawa wanawake tuwachakate tu, tusiwaoe, hawana shukrani.
Chai
 
Back
Top Bottom