Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Hahahaha hiyo ni kwa wanaume sisi wanawake ni risk ukae na mtu kumbe mume wa mtu
 
Nmependa jinsi mtoa mada anavojibu reply za members wa MMU

Mtoa mada Anaonyesha ni mwanamke anaejitambua

Ni mwanamke aliye serious na mada aliyoileta hapa jukwaani

CHONDE CHONDE, MPENI USHAUR WA KUMJENGA
Yaani hayo maneno ndio wanaume naokuwa nao wananiambia sasa ndio changamoto hiyo washakuwa wa watu
 
Mkuu,
Honestly hii Thread imeniumiza sana,

Mtoa mada kaiandika kwa hisia sana,

Nmejaribu kuvaa viatu vta mtoa mada,

Nmeyafeel kabisa maumivu anayoyapitia😢
Ni huzuni mkuu nikijiangalia kimuonekano sio wa hovyo najiheshimu naheshimu mahusiano nilionayo lakini bahati haipo upande wangu 😞
 
Me naamini wakati Mwingine Mungu hukupa unachostahili na sio unachotaka, je wewe kwenye mahusiano umenyooka? Embu jichunguze kwanza wewe binafsi tangu uvunjwe bikra hadi Leo wote wanakudanganya tu?
Embu pekua faili lako alafu ulete majibu!
Kusema ukweli mimi watu niliowaumiza ni wawili tu lakini huyo mmoja ilikuwa ni ile ya kishuleshule yule kaka mpk Leo anataka turudiane lakini ulikuwa ni upendo wa kitoto Hilo haliwezekani na nilishamuomba msamaha sana kwamba yale mapenzi yalikuwa ya utotoni na sisi hatukuwai kushiriki ngono kwaiyo sina connection nae yoyote labdaa tuseme imenifunga

Upande wa huyo kijana mwingine yeye ndio alisababisha nimuache maana alikuwa ananinyima amani mkikosana kidogo anatishia kukuua na kujidhuru ni mtu wa kupanic kitu kidogo nikashindwa nikamuacha (tulikuwa tunalingana umri hivyo nilimzidi akili kabisa)
Huyu kaka ndio nilimuumiza sana mpk familia yake kuingilia lakini sikutaka kumrudia

Lakini huyu sasa ana mtu wake ila bado anataka tena kuwa na mimi.. ubaya wameshazaa siwezi kurudiana nae

Lakini wote hao Hakuna niliewahi kumcheat wala alienifumania ni sababu tu kama hizo

Sidhani kama hizo history za watu wawili ndio zinihukumu
 
Hii ya mwanaume nipe ya mwanamke
Ya mwanamke:
Uzuri huchuja haraka wengine sura zao baadae huonekana kama wanaume, mwanamke inatakiwa utulizane ili uwe mke mwema kama unataka kuolewa lakini

Umenikumbusha pia kuhusu sauti nyororo za wanawake kabla ya kumuoa akiwa ndani ya nyumba wee wee! duu sauti hubadirika wengine kama sauti ya mbwa wengine radi, kikikiki
 
Hahaha
 
Sawa Asante
 
Kuna mambo binafsi siamini kabisa kama yapo ndani ya uwezo wa kibinadamu kuyapata mojawapo ni kumpata Mwenza wako sahihi(Right Partner). Binadamu ni kiumbe complex sana,kujaribu kutumia akili za kibinadamu kutafuta right partner ni kumpa nafasi Ibilisi ya kukuletea JINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…