Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 πHapo umeongea, mtu kuachwa zaidi ya mara nne kuna mengi. Itabidi atafute kasoro aliyonayo aitatue
Watu tunatofautiana mkuu sio kwamba sipati wa kunioa napata lakini viwango havijakidhi.. mfanoUnajiweka mazingira gani?
Una behave vipi?
Una mingle na watu wa aina gani?
Unajishighulisha na nini?
Uzuri sio kipimo cha kuolewa ama kupata mwanaume wa kutulia na wewe
Mimi nilianza kuposwa niko form four
Mpka namaliza chuo idadi ya watu walotaka kunioa ilikuwa ndefu
duh watu tunatofautiana kwakweli
Punguza mararajio makubwa, acha kujionyesha una uhitaji mkubwa wa ndoa..!!Kwaiyo kuwakubali inatakiwa ichukue Miaka mingapi mkuu
Fanya diagnosis mfano anzia mtaani kwako au Nyumbani then ukae nje yako na ujiulize who is this guy ?Kwaiyo wapi nitapata solution
Basela ni niniUna basela kweli au ndio tia maji tia maji hata kukutambulisha mtu anajishauri mara 3
Navyoandika hapa usifikiri kuwa ndio ninamuoneshea mwanaume hivyoPunguza mararajio makubwa, acha kujionyesha una uhitaji mkubwa wa ndoa..!!
Dini (Religion )Watu tunatofautiana mkuu sio kwamba sipati wa kunioa napata lakini viwango havijakidhi.. mfano
1; Dini
3: Umri
4; Mtazamo
Unapata mtu anataka kukuoa lakini huna amani nae vipi uingie kwenye ndoa na huyo mtu.. sichagui ila angalau kati ya vigezo 10 hata 4 viwepo mkuu
Mkuu ndio vipi hivyo .. who is this guyFanya diagnosis mfano anzia mtaani kwako au Nyumbani then ukae nje yako na ujiulize who is this guy ?
kadogo2Dini (Religion )
Umri (Age)
Mtazamo (Mindset)
Kama unataka kufanya maisha achana na mambo ya dini , kwakuwa dini haina uhusiano wowote na uchamungu
Umri - umri ni namba tu ikiwa MTU umempenda mnaweza kufanya maisha kwakuwa we live only once muhimu mwanaume asiwe mkubwa kufika umri wa kukuzaa Ila Approximate age akuzidi 10-15
Waweza Tazama Jayz z na Beyonce.
Mtazamo (Mindset) kikawaida mtazamo wa MTU huwa unabadilika kwahiyo waweza kumbadilisha MTU mfano Mimi nilikuwa naona kuwa naweza kuoa single mother Ila nilivyojiunga JF nikabadilisha mawazo same to you unaweza mbadilisha MTU mtazamo.
Je wapi unaona pagumu ?
Dini mkuu hapo pagumu maana maisha tunayoishi ni dini toshaDini (Religion )
Umri (Age)
Mtazamo (Mindset)
Kama unataka kufanya maisha achana na mambo ya dini , kwakuwa dini haina uhusiano wowote na uchamungu
Umri - umri ni namba tu ikiwa MTU umempenda mnaweza kufanya maisha kwakuwa we live only once muhimu mwanaume asiwe mkubwa kufika umri wa kukuzaa Ila Approximate age akuzidi 10-15
Waweza Tazama Jayz z na Beyonce.
Mtazamo (Mindset) kikawaida mtazamo wa MTU huwa unabadilika kwahiyo waweza kumbadilisha MTU mfano Mimi nilikuwa naona kuwa naweza kuoa single mother Ila nilivyojiunga JF nikabadilisha mawazo same to you unaweza mbadilisha MTU mtazamo.
Je wapi unaona pagumu ?
Joho Jekundu unalo? Nyuma umefunga mzigo?Basela ni nini
Una kitu kinaitwa stereotype unapenda kusikia kile kinachokufurahisha na kinachoendana na akili yako .Mkuu ndio vipi hivyo .. who is this guy
Mimi au wao π
Kwaiyo kama sielewi sipaswi kuhoji mkuu maana nia nipate mawazo tofautiUna kitu kinaitwa stereotype unapenda kusikia kile kinachokufurahisha na kinachoendana na akili yako .
In short tangia upandishe huu uzi ungekuwa umepata majibu tumejaribu kukupa Madini Ila bado unauliza maswali yaleyale.
Ikiwa sisi tunachoka je mpenzi wako itakuaje?
Dini mkuu hapo pagumu maana maisha tunayoishi ni dini tosha
Malezi ya kiimani tofauti kuna vitu wewe utavichukulia normally halafu mwenzio anachukulia seriously
Umri
Unaweza pata wanaume wadogo na kawaida mwanaume akiwa mdogo kiumri mara nyingi mwanamke anakuwa na akili kumzidi
Na Mimi nataka niwe under control nataka mwanaume afanye maamuzi juu yangu sio mimi ndio niwe msemaji wa mwisho na hiyo ndio raha najisikia
Sasa ukishajua mtu umemzidi umri automatically ile nidhamu unapoteaa nataka mwanaume wa kunizidi umri hata kama ni miaka 2
NimepewA pasi ndefuJoho Jekundu unalo? Nyuma umefunga mzigo?
Siyo kweli, huko sasa ni kukitembeza, tafuta kasoro ulizonazo uzitatue.Kuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 π
Shida ndio inaanzia hapo lips za kunyonya macho ya kuita na kukonyeza km unasinzia pia huna?NimepewA pasi ndefu
Lazima turudi kwenye makubaliano watoto wetu watalelewaje kwenye dini ipi maana siwezi kulea watoto wangu bila misingi ya dini na imani hata wewe ulipokuwa mdogo ulilelewa vingine na umekuwa umefuata vingineMfano mimi siendagi msikitini wala kanisani
Ila Mimi sinywi pombe, sifanyi ,uzinzi ,natoa sana sadaka kwa wahitaji ,napenda watu, na nipo positive
Je utakaa kataa kuolewa na Mimi kisa Mimi siamini katika dini Ila naamini Mungu yupo basi
Huo ni mfano , nipe jibu .
Ukimaliza hizo 7 nitafute tuendelee ya 8 napenda mitumba mimiKuna mtu alinambia inatakiwa nipitie mahusiano seriously 7 na wote wa niache ndio napata mtu sahihi yaani et wanawake wengi lazima wapitie hatua hiyo kuachwa mara 7 π