Wanawake: Unajisikiaje kila ukipata mwanaume anaeleweka, anakuwa tayari ana mtu wake

Waoaji tupo ila tupo busy na majukumu ya baadae baada ya ndoa.

Kiufupi, kuna mahala tunapenda tufike kabla hatujaingia kwenye ndoa.

Vumilia tu, Mungu atakusaidia. Usiipambanie ndoa, isubirie tu itakujia kwa ustaarabu na muda mzuri tu.
Haya
 
Naona umekuwa msemaji wangu
Sijawah kuishi na mwanaume kinyumba even kwenda kukaa kwake week sijawahi mkuu

Huo ujumbe uwafikie wahusika mimi hilo halinihusu
 
Ndo kama mleta uzi, keshathibitisha kushenyentwa na vijeba 3 kwa muda mrefu, hao kasema ni wale walioonekana wana malengo bado wale wa kula na kupita.
Kwa historia ya namna hii ukiambiwa lazima utoke nduki
Sasa hiyo story anaambiwa na nani wakati tulishakubaliana kwenye vikao idadi ni wawili tu yeye na ex mkuu
 
Duu
 
Hakuna mtu anataka ku share
 
Wanaume wengi wanaofaa kuoa washaoa...As a man thinketh.

By the way unahitaji ushauri wa kisaikolojia kutoka Kwa wanawake wenzako waliokuzidi uzoefu wa haya mambo, sisi wanaume tutazidi kukuvuruga tu.
Mmh
 
Bi Dada utakua una chagua wanaume wenye mafanikio na ukishazoea kutembea na wanaume mfano waume za watu basi kuwapenda vijana itakua ngumu lazima utakua na mzee mume wa mtu kwakificho na kwenye public unakua na kijana ili kuificha jamii.
Hivi Kijana Kuna na kazi ndio kuwa na mafanikio
Kiufupi naokutana nao ni wanaume wa kawaidaa wenye kazi za kawaida na mafanikioa ndio wanajitafuta

Na Pia Mimi Huwa si date na mwanaume naeona ana mafanikio makubwa huwa naogopa who behind na hayo mafanikio
 
Itakuwa
 
Kama upo serious utafanyia huu ushauri kaz
Omba (sali)
Hiv vitu unaweza ukaona ni kawaida ila huanzia rohoni
Kuna watu walikuwa wanateseka sana miaka inaenda wanaachwa achwa au mabalaaa
Cha msingi Muombe Mungu akuongoze
Umpate aliyesahihi

Fanya research umjue mtu kwa haraka kuliko kupoteza muda


Fullstop….
 
Acha kujirahisisha na punguza kujipa expectation kubwa..!!
Kujirahisisha ndio kukoje bidada
Maana kama mwanaume una time nae kakufuta mwenyewe mnazungushana una mkubali hapo utasema mtu kajirahisisha
 
Asante sana
Inabidi tuwe michepuko sasa kwa style hiyo maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…