Ila na tupate utambulisho wa kuwa hapo wapi,kunatukio gani,uhalali wake, mratibu nani,na msimamizi ni taasisi ipi,ya kidini ama kisirikali ,mchungaji kahusika ama kahusishwa ama hapo ndiozile za bomani au za mikataba?View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Yaani hapo hawana presha wala nn ,sio mtu ndoa ana presha miezi mitano kabla maandalizi ni mengi sana.Inatia hamasa sanaa, wacha nitafute wa kufanana naee
Unamuonaje kwanza huyo binti?View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Hapana kwanini? Uhalali wa ndoa uko palepale kuliko kuendelea kuliwa kihuni kila weekend.Eh hapana kwa kweliππ
Nyie ndio mnataka show offs, then baada ya mwaka ndoa chali..sikusemi wewe mkuu.Eh hapana kwa kweliππ
Uhalali upo sijakataa angalau basi angevaa nguo nyeupe mwe rangi gani hizo !Hapana kwanini? Uhalali wa ndoa uko palepale kuliko kuendelea kuliwa kihuni kila weekend.
Hata km ingekuwa unanisema, mimi sihitaji show off km ulivyodhani. Ni kuwa kuna vitu lazima vizingatiwe depend na uhitaji wa wahusika lkn.Nyie ndio mnataka show offs, then baada ya mwaka ndoa chali..sikusemi wewe mkuu.
Hawa watakuwa warombo hawaView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Kwani we unapendaje JolineHata km ingekuwa unanisema, mimi sihitaji show off km ulivyodhani. Ni kuwa kuna vitu lazima vizingatiwe depend na uhitaji wa wahusika lkn.
Serikali ya CCM imefanya vijana wengi wawe HOHEHAHE, kiasi kwamba bwana harusi anashindwa kabisa kumudu gauni la shela la mkewe. CCM must go.View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Unavyopenda wewe iwe/ifanyike na mm ndo napenda.Kwani we unapendaje Joline
Na hivi ndivyo natamani ndoa yangu iweView attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
πππππHao ndiyo watoto wakike waliolelewa na baba na Mama si hii mcharuko iliyolelewa na single mother !