Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
Yajayo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me pia aisee amna stress za kukimbizana.Hata mimi nimewapenda sana
Mbona wanafanana😅😅... Anyway, namie mwaka huu itabidi nimtafute Binti mmoja tuifanye ya hivi, tena ya usiku ili tukitoka tu church tukaendelee na fungate then pakikucha fungate inaisha na majukumu mengine yanaendelea kama hakikutokea kitu😂😂😂.View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Nimeipenda,shida kupata familia itakayo kubaliana na ndoa bila harusikuna kijana alifunga ndoa ya namna hiyo juzijuzi tuh
Katoliki wana zile za mnafunga mnaenda kula na padre.Hata katoliki ndo hivi wanataka,zile za mbwembwe na makelele Mungu hapendi ndo zinaongoza kwa kufa kibudu
Ndoa za Mafungu ? Au zile za uchumba suguKatoliki wana zile za mnafunga mnaenda kula na padre.
Ndiyo hizo hizoNdoa za Mafungu ? Au zile za uchumba sugu
Hii safi sana,mambo ya kuchangishana hela kwa ajili ya arusi ni ushamba na yamepitwa na wakati na pia ni ufisadi.View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Ndoa bila shereheNimeipenda,shida kupata familia itakayo kubaliana na ndoa bila harusi
Sherehe ya nini akitoka hapo nyumbani akaichape fresh.Wamependeza ila si walienda ukumbini kusheherekea baada ya kutoka kanisani?
Safi sana!! Wabarikiwe katika maisha yao ya ndoa!View attachment 3246243
1. Hakuna madeni
2. Hakuna kusumbua watu michango
3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara