Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

Wanawake wa hivi bado wapo vijana oeni, ndoa bila shela yafungwa kanisani na kushangaza waumini wengii

View attachment 3246243

1. Hakuna madeni

2. Hakuna kusumbua watu michango

3. Hakuna kupotezea watu muda kwa vikao vya mara kwa mara
Mbona wanafanana😅😅... Anyway, namie mwaka huu itabidi nimtafute Binti mmoja tuifanye ya hivi, tena ya usiku ili tukitoka tu church tukaendelee na fungate then pakikucha fungate inaisha na majukumu mengine yanaendelea kama hakikutokea kitu😂😂😂.

Sema ndoa za hivi achilia mbali watu wenu wa karibu bali kuna muda hata nyie wenyewe mnaweza kujisahau kama mlishafungaga ndoa tayari.
 
Zile za mazawadi ukumbuni nyingi zinabeba malaana ya nuksi,uzinzi,ni rahisi kutupiwa mikosi kwenye zawadi unazopokea.
Ukitoka kanisani inatakiwa moja kwa moja kwenu kapeleke baraka za ndoa ndani mwako na sio ukumbini Pana mengi ukumbini kule unaacha baraka za kanisani unabeba ushenzi wa ukumbini
 
Wamependeza ila si walienda ukumbini kusheherekea baada ya kutoka kanisani?
 
Back
Top Bottom