Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

After breakup

Backup up ya mwanamke ni wanaume wanaomtongoza. Backup ya mwanaume ni hela.

Kisasi cha mwanamke ni kutombwa. Kisasi cha mwanaume ni ku-upgrade maisha yake
We naye liongo.
Hao wanawake labda dada zako ndio wanaendekeza kutombwa na mashemeji zako..!!
 
Na huyo mwanamke ni MTOTO BINTI YAKO WA KUMZAA ๐Ÿ˜น
 
Scary thought
 
Tatizo moja mnakwenda vice -versa.

Tukiwapenda na kuwajali sana mnatuumiza na kututenda. Fanton Mahal ni shahidi tosha.

Tukiwapuuza na kutowapenda sana ndio mnajidai kutupenda sana.
Basi tumeacha tutaanza kuwatii waume zetu msijali..!! ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
We naye liongo.
Hao wanawake labda dada zako ndio wanaendekeza kutombwa na mashemeji zako..!!
Mimi dada zangu wote washaolewa kwa ndoa takatifu. Dada angu mdogo ndoa yake inaenda mwaka wa 18 sasa hivi.

Tukirudi kwenye mada. Kisasi cha mwanamke ni kutombwa na mwanaume ambae alikua around wakati yupo kwenye mahusiano. Anaweza kuwa anafahamiana na ex-boyfriend wake au walikua wanawasiliana na ex-boyfriend anapouliza huyu nani anapewa majibu ya hapa na pale.

Wanawake huwa wanafanya hivi kwa kufikiri wanawakomoa maex, lakini huwa yanakua maamuzi ya kukulupuka tu ambayo lengo linakua ni kisasi, na ndio maana haya mahusiano wanayoanzishaga immediately after break up huwa hayadumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ