Hao wanawake hawapo bana labda unaokutana nao wewe.!!Mimi dada zangu wote washaolewa kwa ndoa takatifu. Dada angu mdogo ndoa yake inaenda mwaka wa 18 sasa hivi.
Tukirudi kwenye mada. Kisasi cha mwanamke ni kutombwa na mwanaume ambae alikua around wakati yupo kwenye mahusiano. Anaweza kuwa anafahamiana na ex-boyfriend wake au walikua wanawasiliana na ex-boyfriend anapouliza huyu nani anapewa majibu ya hapa na pale.
Wanawake huwa wanafanya hivi kwa kufikiri wanawakomoa maex, lakini huwa yanakua maamuzi ya kukulupuka tu ambayo lengo linakua ni kisasi, na ndio maana haya mahusiano wanayoanzishaga immediately after break up huwa hayadumu
Hizo pesa mnazotafuta zinaenda wapi wakuu maana wanawake always hawanaga pesa.Hao wanawake hawapo bana labda unaokutana nao wewe.!!
Nowadays wanawake tuko busy kutafuta pesa huo muda wa kugawa gawa tunaoutoa wapi?
Ulikwisha cheza michezo km mpira hivi ukaumia,huhisi maumivu yyt ni sawa na mwanamke anaejiuza hawana hisia na hii pia hutokea kwa wanandoa waliochokana kwani mwanamke anaweza jifanya anafurahia tendo lkn hana hisia na Ww kabisaUongo huu sasa 😹😹😹
Wale wa riverside na kimboka wanawapenda ndo wanawapa?!!
Make me your next...
Wapo, hadi shangazi yangu alikuwa na Back up na Baba mmoja mpaka sasahivi nalionaga ila limefulia linaitwa MushiHao wanawake hawapo bana labda unaokutana nao wewe.!!
Nowadays wanawake tuko busy kutafuta pesa huo muda wa kugawa gawa tunaoutoa wapi?
Mkuu mbona una andika kama upo unakimbizana na mwendo kasi..?!Mwanamke anaongozwa na hisia, mwanamke anaanza kutombanaaa njez , hisia zake zinapo kata kwako. Lakini kama hisia za mwanamke bado zipo juu kwakoz, ngumu kumkuta anagawa inje.. kazi kubwa kwa Mez kuhakikisha manzi yako hisia zake zabaki kwakoz ukochemka hapa unayombewa asubuhi na mapemz
Ukweli ni upi? Em tumegee experience yako kama sio kweli..Siyo kweli
Mweeeee kwa hiyo sasa mbususu ugawi kwa nini? Mbona unaenda kinyume na nature weweHao wanawake hawapo bana labda unaokutana nao wewe.!!
Nowadays wanawake tuko busy kutafuta pesa huo muda wa kugawa gawa tunaoutoa wapi?
Nje ya mada mkuu, hawa OnePoll bado wanalipa? Nimekula kula sana dollars zao miaka kadhaa nyuma[emoji385][emoji383] kwa kujibu surveys zao kwa kutumia utambulisho fake wa kujifanya mwingereza [emoji851] nikajaga kuachana nao..Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Kila mtu na hulka yake, binafsi mimi siwezi.Ukweli ni upi? Em tumegee experience yako kama sio kweli..
Kumbuka OnePoll hiyo ni platform ya kuendesha surveys za mambo mengi ya kijamii, uchumi na siasa kukusanya maoni binafsi ya watu tena anonymously so hao wanawake 1000 waliokiri ni kwamba wamejua kabisa hawajulikani (wako anonymous) na wamekiri kua backups pembeni (mpango wa kando)... Ila ki uhalisia wangeulizwa live hivi ni asilimia kubwa sana kama sio wote wangelitoa jibu kama lako hili... Wataalamu wa saikolojia wanasema mwanamke anaposema neno HAPANA kwa maneno ni NDIYO kwenye akili yake, na vice versa.
kimara geresani sio mchezoMkuu mbona una andika kama upo unakimbizana na mwendo kasi..?!
100% True na ndiyo maana kwenye simu ya Mwanamke lazima awe na wanaume hata watatu anaowa-FLIRT /entertain ,hao ndiyo wanakuwa kama BACKUP.Backup hizo zinaweza kuwa wanaume waliowatongoza awali, wapenzi wao waliopita(ex), wafanyakazi mwenzake au gym buddies.
Tafiti za Onepoll zinaonesha Kati ya wanawake 1000 kutoka nchini uingereza nusu yao walio kwenye ndoa au mahusiano wamedhihirisha kuwa na mwanaume mwingine kama backup pindi mahusiano yao yasipofanya kazi.
Si umeonana sasa, nyie hamtakiwi kuwa smartphone, mnatakiwa tumia tu za wapenzi wenuNa huyo mwanamke ni MTOTO BINTI YAKO WA KUMZAA 😹
Kupenda ni nature ya mwanaumeMsanii Baddest 47 katika wimbo wake wa mauzauza alishaonya wanaume kupenda penda.
Ukitaka kuumizwa basi wewe endekeza kupenda penda.
Hakuna anaye katazwa kupenda.Kupenda ni nature ya mwanaume.
okayHakuna anaye katazwa kupenda.
Kupenda ni uhuru wako kabisa.
Pia kutendwa ni nature pia.
Unavotumia jitihada na nguvu Sasa😁😁🤭!Make me your next...
Mara kibao nakuulizaga hili unachukulia poa!! Who's your next target????🤭🤭🤭😁😁!