Wanawake wanakuwa na backup ya mwanaume akilini mwao kama mahusiano au ndoa zao zitafeli

Uwezi ukammenage mwanamke maisha yako yote na akijua una mmenage hamna rangi utaiacha kuiona mkuu mwanamke ni ibilisi na ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili na kukushauri kama unammenage mkeo na anajua mkuu nakuakikishia utakuja kuleta mrejesho hapa nimeshaona mengi mkuu na naendelea kuyaona na kushauri jambo linguine usije ukamwamini mwanamke kwenye maisha yako wa kumwamini wa kwanza ni mungu wa pili mama yako aliekuzaa zaidi ya hapo ni batili
 
Baki na hayo mawazo yako. Na mie nibaki na mawazo yangu.
 
100% True na ndiyo maana kwenye simu ya Mwanamke lazima awe na wanaume hata watatu anaowa-FLIRT /entertain ,hao ndiyo wanakuwa kama BACKUP.
Sidhani mkuu, mwanamke akishaanza kufikiria backup ujue moyo ushaanza kuingia ganzi kwa matukio.
Mwanamke ambae bado ana upendo kwa mumeww hata mwanaume tu akimsalimia njiani anaona kichefu chefu ndo iwe kuflirt?
 
Tairi spea. Hiyo ipo sana kwa bongo nadhani zaidi ya 80% watakuwa na tairi spea
 
Sasa HUYO mwanamke WA hivo utampata wapi mkuu? LABDA UENDE Iraq ukabebe MKE WA Miaka Tisa ataweza sharti la kuchangia SIMU na mengineyo mkuu. Hawa wakwetu nimaombi KILA SIKU nakufunga JUU.


Kwishaaaaa
 
Sasa HUYO mwanamke WA hivo utampata wapi mkuu? LABDA UENDE Iraq ukabebe MKE WA Miaka Tisa ataweza sharti la kuchangia SIMU na mengineyo mkuu. Hawa wakwetu nimaombi KILA SIKU nakufunga JUU.


Kwishaaaaa
mkuu, culture ina athari sana. Na mwanamke asie tayari kuku obey 100%, ujue sio ubavu wako kaa nao pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…