BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
-
- #41
Hilo nimeweka kama kionjo tu.Wanawake wafukuzwe kazi sababu ya kubaki nyumbani kuwapikia na kuwafulia, kwani wao ni Watumwa wenu???
huo ndo ukweliMwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.
Ndoa ni kama taasisi ya kitapeli ambayo mwanamke anaitumia kukidhi mahitaji yake. Kinyume na hapo, mwanamke hana haja na ndoa.
Kuna dada mmoja ni mwanasheria yupo Arusha, hawezi japo kumpikia chai mumewe. Muda wote yuko kazini, na akirudi hana muda.
Anajua mumewe ni kama kikaragosi ambacho hakimtishi kwa lolote.
Kwa mantiki hiyo, nihitimishe kwa kusema kwamba, unyenyekevu wa mwanamke katika ndoa ni danganya toto ili aweze kuendelea kupata mahitaji yake ikiwemo chakula na mavazi.
Akifanikiwa kuvipata hivyo bila usaidizi wako, atakunjua makucha yake rasmi akucharange kama shumileta.
Unyenyekevu ni utapeli. Hadaa ya kuchuma mali.
Mwanamke mwenye fedha ni mwanaume mwenzio. Ukimkoromea anakucharaza bakora.
MY TAKE: Wanawake wafukuzwe kazi.
Andika yote lakini nikiwa na mwanamke mwenye pesa nakaa naye "one eye closed and the other one very opened "!Hamuaminiki.Kwanini unahisi ni unyenyekevu wa uongo? Mtu tu asikupende kwa moyo wake wote na kukutii, we unaona ananyenyekea uongo kisa hizo elf20 zako?
Watu ambao hamjawahi ku experience mapenzi ya dhati mnasumbua sana
Hamna kiumbe kisicho na heshima mkuu l, shida ya wanaume wanapenda ile kuheshimiwa beyond sijui unanipata???Kwa fikra hizi ndiyo maana mlpewa ukomo wa fikra.Hela huwafanya mkose upendo,utu,heshima na mizani maishani.Na ndiyo hapo huwa najiuliza ingekuwaje kama wanaume na wanawake wangeumbwa kwa uwezo na kuyachukulia mambo kuliko sawa!Ingekuwa rabsha.
Huu ni ukweli mtupu usiohitaji mdahalo wa Mbowe na CCM.
Ukweli mtupu.
Kipimo sahihi ni kile cha Mwanaume anaweza kuishi na mwanamke asiye na kipato chochote ila Mwanamke hawezi kumvulia mwanaume asiye na kipato hata kwa wiki moja.
Ukijihoji sana na ukiwa mwanaume mchoyo, kamwe hutooa.
Aah mkuu sijamaanisha kutotambua umuhimu wa.mume/mwanaumeUmri wako bado! Hata wetu wakati ule walifikiria hivyo. Lakini kadri ya wakukuomba k wakipungua, umuhimu wa mume unaonekana!
Oya serve faster basi 😃🤣Wazee wa comment section, nauza pepsi baridi. Uzi nahisi utakuwa na jua huu, kupoza koo muhimu
Hii ina appy to both sidesKweli kabisa. Mifano mingi mno. Ukimuoa na kama Hana kitu, subiri kimchanganyie, utasoma namba. KIBURI, nyodo, dharau, kukupandia kichwani nk nk
Mwanamke hatariiii!
Hiyo siyo solution solution ni walio bado hawajaoa kutumia akili zao vyema na uanaume wao vyema,mume ajue yeye kwa 100% ndiye anaetakiwa kuwajibika kwa lolote ktk familia aliyoianzisha hata kama itatakiwa kampan ya mke iwe inatokana na miradi aliyoianzisha yeye kwa ajili yao ikisimamiwa na mke nje ya hapo hakuna heshima.Wafukuzwe kazi wakatumikie ndoa?
Hivi uliniambia we ni mwanasheria ofisi gani hapo arusha?Was Arusha necessary?? Ungesema tu kuna huyu mdada, au kuna hii ndoa mke wake ni mwanasheria.
Why Arusha? Komwe lako..
Hata hapa wanapita na wanafanya ukaidi kwa hizi fake IDs ila deep down wanatamani sana kuwa ndani ya ndoa.Unajua wengi wanaosema ndoa haina maana hasa wanawake, ni kuwa hawasemi ukweli! Wanasema kujifurahisha tu. Kila mwanamke isipokuwa sista wa kikatoliki anaota ndoa. Abishe mtu nimpe mifano hai