Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Mmekariri sana maisha na kugeneralise mamboNi mama zetu lakini huo ndio ukweli na ukitaka kujua ukweli zaidi ewe bwana mdogo muulize dingi. Mwanaume akiwa na kipato huwa anahitaji familia ila mwanamke mwenye kipato huwa anahitaji watoto tu.
Lakini cha kushangaza utaenda kutafuta mwenye huo uwezo tenaWanawake wenye kauwezo ka pesa aisee wanajionaga hawana cha kupoteza...sahivi nna mpango wa kutafuta mwingne kimya kimya nimchape mimba nafsi yangu iniepushe na roho ya mauti...
mwanamke ukiwa na hela hata sexual drives inapungua pia...unakua hupendi..Na hapo ndipo waliponyimwa uvumilivu na busara.Mwanamke akiwa na hela,hata kama ni mkeo,ni zake yeye na majambazi fulani wanaitwa "watoto wenu"!
Sio kugeneralise bali mifano ni mingi sana kwenye jamii, tunaona.Mmekariri sana maisha na kugeneralise mambo
shida ninnini mkuu??nani mlipaji?? wewe au yeye??Dah nna mke ni mtumishi wa uma yani jana nusu nimmalize kwa dharau...kakopa dinner set ya laki NNE bila kunishirikisha namuuliza kwanini ananijibu siku nyingne ntakwambia...nlijisahau
Sawa nawaza kwamba mama yako ni maskini ndio maana yupo na mzee wako au sioNi mama zetu lakini huo ndio ukweli na ukitaka kujua ukweli zaidi ewe bwana mdogo muulize dingi. Mwanaume akiwa na kipato huwa anahitaji familia ila mwanamke mwenye kipato huwa anahitaji watoto tu.
Aisee hapa nipo njia panda...hawa wanawake ni nuksi haswaaaHatari sana na wanapenda mikopo lakini huliza hela zinakwenda wapi aiseee utabaki unacheka tuu
Pamoja na kuwapenda na kuwanyenyekea hao 'waume' zao kwa dhati ila mwisho wa siku wameambulia usaliti na kuachwa kwahiyo hivyo ndivyo mnavyotaka, kuwa wanawake siku zote ndio wawe decent bila kujali wanaume zao ni watu wa aina gani ndio maana nasema msilaumu wanawake walioamua kuwa wabinafsi, sababu hamjui wamepitia mangapi toka kwa wanaume wasio na shukurani kama hao lakini cha ajabu maovu ya wanaume wenzenu huwa hamyakemei na mnayaona sawa kabisaMadada wenye hela ambao wanyenyekevu wapo ila wachache mno,nimesha washuhudia wawili mmoja ana maduka ya nguo,mwengine ana duka la jumla vinywaji na chakula. Wale wadada waume zao walikuwa wanawapenda sana.
Yaani kama huyu dada mwenye duka jumla la vinywaji na chakula alikuwa anarudi mapema jioni kumpikia mmewe ambaye yy ni kinyozi,sometimes alikuwa anamlipia mpaka kodi ya frame yake, ila yule kinyozi alivyo pata hela ya mgao wa mauzo ya shamba la mzee wake akapotea huko kwa malaya,baadae wakaachana.
Wapili huyu nae jamaa yake ni kitombiii sana yaani kitaa kavuruga sana, wametengana kwa mdaa ila yule dada still bado anampenda.
Japo majority ya dada zangu wakishapata hela ligi,mashindano na viburi ndani ya nyumba zinaanza. Ila hawa wadada wote wawili niliwafuatilia nikaja kujua wametoka kwenye familia za dini sana,hela hazija wafanya wawe viburi mbele ya waume zao na hawana upuuzi huu wa 50/50 na usawa wa kijinsia.
Kuna kipindi mwanangu mmoja alitaka kuniunga kwa demu wa UN kwani alikuwa anatafuta mme,nikamwambia nina mtu na kipindi hiko niliamua kabisa kutuliza mawazo.Demu mwenyewe nae akaja kuzingua baada ya kurudiana na ex-wake,yaani bora yule wa UN ningemweka sub.
Kitonga ganda la ndiziii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madada wenye hela ambao wanyenyekevu wapo ila wachache mno,nimesha washuhudia wawili mmoja ana maduka ya nguo,mwengine ana duka la jumla vinywaji na chakula. Wale wadada waume zao walikuwa wanawapenda sana.
Yaani kama huyu dada mwenye duka jumla la vinywaji na chakula alikuwa anarudi mapema jioni kumpikia mmewe ambaye yy ni kinyozi,sometimes alikuwa anamlipia mpaka kodi ya frame yake, ila yule kinyozi alivyo pata hela ya mgao wa mauzo ya shamba la mzee wake akapotea huko kwa malaya,baadae wakaachana.
Wapili huyu nae jamaa yake ni kitombiii sana yaani kitaa kavuruga sana, wametengana kwa mdaa ila yule dada still bado anampenda.
Japo majority ya dada zangu wakishapata hela ligi,mashindano na viburi ndani ya nyumba zinaanza. Ila hawa wadada wote wawili niliwafuatilia nikaja kujua wametoka kwenye familia za dini sana,hela hazija wafanya wawe viburi mbele ya waume zao na hawana upuuzi huu wa 50/50 na usawa wa kijinsia.
Kuna kipindi mwanangu mmoja alitaka kuniunga kwa demu wa UN kwani alikuwa anatafuta mme,nikamwambia nina mtu na kipindi hiko niliamua kabisa kutuliza mawazo.Demu mwenyewe nae akaja kuzingua baada ya kurudiana na ex-wake,yaani bora yule wa UN ningemweka sub.
Haha kweli kabisa meza zimepinduka hawaamini wanachokiona ndio maana vilio kila kona, mfumo dume uliwadekeza sana wanaume hawakutegemea wala hawajazoea haya mambo ndio maana baada ya wanawake kuamka na kuanza kujibu mapigo wamechanganyikiwa, nakubaliana na wanaosema kwamba feminists walichokosea ni ku empower women halafu wakasahau kuwaelekeza wanaume namna ya kuishi na empowered women na haya ndio matokeo yakeMeza imepinduka, dunia haimsubiri mtu yeyote anayelia lia, tupambaneni, mwenye hela na mwenye ndoa sawa, asiye na hela na hana ndoa sawa, mwenye hela na hana ndoa sawa, mwenye ndoa na hana hela sawa.
Kwa muda mrefu ndoa imekuwa ni sehemu ya ukandamizaji kwa mwanamke, meza imepinduka vilio kila kona. Muathirika ni nani??
Bichwa komwe, komwe la mama mkwe wako. [emoji28]
How dare you?
Mwanamke mwenye kazi, mshahara mnono, nyumba na gari, hawezi kumuheshimu mumewe vile inavopaswa.
Tuishi nao kwa akili hata Mungu anawatambua hawa viumbe kuwa ni watata kwenye maokoto ndio maana akatupa tahadhari mapema.Na hapo ndipo waliponyimwa uvumilivu na busara.Mwanamke akiwa na hela,hata kama ni mkeo,ni zake yeye na majambazi fulani wanaitwa "watoto wenu"!
Kijana umeshawahi kuishi ki-bachelor au upo kwa shemeji yako??Kama ni vicheap services mbona mkiachiwa nyumba siku moja tu mnahaha, kwanini huwa hamvipendi na mnaona uvivu kuvifanya, na mpaka leo bado mnaviregard kama majukumu ya mwanamke
Kwanini unyenyekevu unanasibishwa na mwanamke kukubali manyanyaso? Mimi kwa kweli the only thing i can offer ni “love” na spices zake…. I know very well how to draw the line to disrespects.Haha kweli kabisa meza zimepinduka hawaamini wanachokiona ndio maana vilio kila kona, mfumo dume uliwadekeza sana wanaume hawakutegemea wala hawajazoea haya mambo ndio maana baada ya wanawake kuamka na kuanza kujibu mapigo wamechanganyikiwa, nakubaliana na wanaosema kwamba feminists walichokosea ni ku empower women halafu wakasahau kuwaelekeza wanaume namna ya kuishi na empowered women na haya ndio matokeo yake