Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

Tunzeni wake zenu kina baba jamani hakuna mwanamke anazeeka in her 40's. Sasa mwanamke wa watu anaanza kufumania michepuko tangu ana miaka 26 imagine,. Kila siku analala amenuna , kila siku lazima mpigizane makelele,anawaza kushika simu ya mume na kupigia michepuko, moyo unamlipuka kila saa, stress kila upande ataachaje kuchoka mapema.Haya mambo yanaanzia ndani moyo ukiwa haupo vizuri utareflect tu nje tutaona, ndio maana sikuhizi wanawake wanasema wanatafuta furaha zao Kwanza maana ndoa hizi ukiwa serious Sana kuzeeka na miaka 40 ni kawaida.mimi Nina dada zangu(wa ukoo)wawili wote wamenizidi miaka mingi tu wana 38 Sasa hivi Ila mmoja ukimuona utafikiri ana miaka 28 mwingine utajua ana miaka 45 na maisha yao yanareflect pia.mmoja ndoa yake ina amani Sana na ana mume anayemjali, mwingine mume pasua kichwa kila mwezi matukio mapya kutunza watoto tu ni shida.Stress zinazeesha choose your patners well.Mwanamke akipendwa vizuri na yeye pia anajipenda na anakua na amani atatafuta viskin care ,atakunywa vicollagen, atapaka visunscreen, atakula vizuri, uzee utatoka wapi Sasa.
 
Mi mwenyewe nashangaa watu wanaoona ni muhimu kuoa agemates.

Mi mke wangu nimemzidi miaka 17 lkn naishi naye vizuri kabisa. She is a matured wife material.
Tunashauriana, tunataniana na kufanya utoto pamoja sometimes.

Ndoa Haina fomula. Kuna waliooana wakiwa agemates na wameishi kwa uaminifu Hadi uzeeni. Wengine wameshindwana wakaachana au kuishia kugawana vyumba.

Kuna waliopishana umri kwa kiasi kikubwa na wakashindwana na hata kuachana lkn wapo pia walioshi pamoja Hadi kifo kilipowatenganisha.

Oa mwanamke anayekufaa.

NI MTAZAMO TU
 
Jenga kwanza ndio uoe.
 

aman ya moyo.
 
Siwezi oa anayelingana na mimi never, au mwenye mtoto. Anachoka mapema kabla yangu, K inaishiwa ladha halafu mimi wakati huo bado nina migenye, nianze kuvitolea macho vibinti vibichi vibichi.
 
 
Siwezi oa anayelingana na mimi never, au mwenye mtoto. Anachoka mapema kabla yangu, K inaishiwa ladha halafu mimi wakati huo bado nina migenye, nianze kuvitolea macho vibinti vibichi vibichi.
SAwa..kama unafikiri huko kwenye ndoa ni nyege tuu ndio zinawindwa bas kaa kwa kutulia mpaka uoe..uone jinsi gan unaweza lala na mwanamke kitanda kimoja na usiwe hata na wazo la ngono.

Ndoani ngono ina sehemu ndogo sanaaa japo yenye umuhim mkubwa katika udogo wake huo huo
 
Miaka 30 ndio saizi yake na ndio wanapatikana. Wanaomkaribia umri walishaolewa au wana watoto watatu tayari. 42 kwa 30 wanaendana sana na wataenjoy life
 
Jenga kwanza ndio uoe.
Ukitaka kuamini ulichokiandika hapa hakiwezekani angalia ktk ndugu zako na jamaa zako wangapi waliweza kutekeleza hicho ulichosema hapo ndiyo wakaoa.

Ni % ndogo sana ya Watanzania wameweza kujenga nyumba zao kabla ya kupita umri sahihi kwa kijana wa kitanzania kuoa the rest tumejenga tukiwa tayari na wake zetu.

Neno โ€œjengaโ€ siyo rahisi kiasi hiko.
 
Utamchoma kisu shingoni???
Una roho ya mauaji,jitathimi,yameujaza moyo wako hayo๐Ÿ™๐ŸŠ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ