Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

Si sahihi ila huwa inatokea. Ni kama kuoa wake wawili na kuolewa na wanaume wawili. Imekaaje hiyo?
Kwani dini ya kikristo inatakaje mkuu? Maandiko yanasemaje?
 
Kwani lazima kuoa au kuishi na mwanamke ndani ,,,, tumechoka nyuzi za malalamiko kila siku

Karibuni chama la bachela, ukinipenda twamalizana leo leo tu
siku kwa kudanganyana mvulana msichana
Ishakuwa poa poa tu[emoji1635]
 
Wanawake kweli tunapaswa kuwapenda tena sana....ila kuna mahali unaachilia mbali maisha yaende...ila ndio umempa nafasi.......wanabadilika hatari mno.....kuna hiki kineno....unataaka BIFU na mimi.........najiuliza katoa wapi haya maneno.......ukifikiria kurudi home jioni huna hamu....bar napo,,, ndio hivyo uharibifu wa kipato.....anyway......nilipitia tukamalizana......na ninasonga mbele.......what I care ni watoto tuu....
tusiache kumuomba na kumshukuru Mwenyezi MUNGU......Hii taasisi ni ngumu mno...aikudanganye mtu mie kuko poa kwangu....nooo.....kuna vitimbi ajabu.....
 
Well said mkuu, hii taasisi inachangamoto Sana, kuna watu wanadhan tatizo ni pesa, uaminifu n.k vyote hivyo vinaweza kuwepo lakini maelewano ni changamoto..
 
Kwani doctor mwaka yeye ni nani? Maandiko yanasemaje?
Kuna ndoa za kimilia( hizi zinaruhusu kuoa mwanamke zaidi ya mmoja), kuna kiislam ( hizi pia zinaruhusu wanawake wengi) na ukristo (ambapo wenyewe walijikita kwenye ndoa yamke mmoja na mme mmoja)

Sasa sijajua unataka maandiko ya upande ganiπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mimi siyo mfuasi wa tamaduni za kiafrika wala dini ya kiislam! Mimi ni mkristo na hapa ninaongelea zile ndoa ambazo zimefungwa kanisani katika imani ya kikristo!

Halafu hapa sijaongelea masuala ya wake wengi au mke mmoja (japo hiyo nayo pia kwa mujibu wa dini ya kikristo haijaruhusiwa)! Hapa naongelea kuchepuka nje ya ndoa!
 
Ubachela aisee
 
Kwa dunia ya sasa wanaume pekee tunaoishi kwa furaha ni mabachela tu.yani mnavyosaliti chama na kuondoka kwa mbwembwe Kumbe ndo mnachofanyiwa huko aiseeπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜‚ chama bachela kidumu !!. Sisi bachela tulijua wenzetu mpeta wasaidizi kumbe Mnaonja joto la jiwe hivyo,ila kwa kweli mnasaidiwa vilivyoπŸ˜…πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚. Poleni wanaume wenzetu, wanaume kutiana moyo bwana. ila siku nyingine muache kutuponda makanisani kama mnavyotuita eti sisi wanaume tusio wajibika aya sasa wajibikine huko πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜πŸ˜… πŸƒ
 
Msimamo

Kuchepuka ni hulka iliyopo ndani ya mtu binafsi inaweza mkuta mtu yeyote muda wowote.....

Hapo busara inafuata unaweza ukaitikia wito ukachepuka au ukapuuzia ukaendelea na Maisha(kitu ambacho no salama zaidi na moyo unatulia)...

Japokuwa kuchepuka pia siyo dawa ya tatizo bali inaongeza tatizo na stress baada ya tendo husika....πŸ€”
 
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana

Ukimaliza darasa la 7
Ukimaliza kidato cha 4
Ukimaliza kidato cha 6
Ukimaliza chuo

Huko kote ulipopita kielimu lazima upewe cheti

ila kwenye Ndoa ni tofauti, ndio maana:-

Kanisani/Msikitini unapewa cheti cha ndoa bila mitihani hapa wanamaana mitihani mtaifanya wenyewe huko mnapokwenda kuishi na mke wako na maksi za ufauli au kufeli mtajiandikia wenyewe

Tafakari:
 
Mke mmoja mpaka ufe au afe na usichepuke.
Sasa inakuwaje tena mwanaume kuchepuka ionekane sawa? Na wengine wanakwendaga mbali zaidi na kutolea hadi mifano ya watu ambao ni binadamu kama sisi?
 
Wala hukukosea aisee,mm lilinikuta hilo sikumchelewesha nilimbwagilia MbAli, hata mwaka haukuisha nikamwacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…