Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #161
Sikupingi mkuuukiona wanaringishia sana matrako mitandaoni, ujue wanapenda kufi*wa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikupingi mkuuukiona wanaringishia sana matrako mitandaoni, ujue wanapenda kufi*wa.
Mtajuaaa wenyewee...Kila mtu na maisha yakee...na vile mtu anapanga yaweeeKwa nini uweke dp hiyo picha? Huoni ni walewale attention seekers?
Kutwaaa wanawake this wanawake that...Dunia ya kidigital hii Kila mtu aishi apendavyooo...Ni nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mume![]()
![]()
msituchoshe kukaa kusimanga wanawake utafikiri kwa wanaume hakuna takataka.
Acha povuuKutwaaa wanawake this wanawake that...Dunia ya kidigital hii Kila mtu aishi apendavyooo...
Hii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaumeRed flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single hiyo inapelekea wengi kucheat.
Kwa sababu ya ushindani wa show off za kwenye social media mwanamke anapozidiwa na wenzake mara nyingi hujikuta ana stress na kuwa bored.
Mzee mwanamke akiwa bored lazima atatafuta a new dick to ride na ikitokea mwanaume aka-like au aka-reply kumsifia basi moyo wake utasuuzika kapata attention ya mwanaume na safari ya kusalitiwa inaweza kuanzia hapo.
Mwanamke aliye active kwenye social media anatafuta na kuzithamini likes, replies na followers kuliko upendo na muda kwa mwanaume wake.
Yuko tayari apost picha na video za mitego ili mradi tu apate likes na replies hasa za wanaume. Mwanamke kama huyo ni ngumu sana kufocus kwenye mahusiano yenu.
Njia moja ya kumtambua mwanamke aliye a low value ambaye sio wa kufanya naye maisha ni yule ambaye anapenda ku-expose mwili wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa kifupi ni kwamba avoid women who are addicted to social media
Your attention will never be enough for them
Learn or Perish
We unamuona saa ngapi Kama we nayeye hamko sawa tuKuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.
Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
Tangu nipigwe za uso na malaya mmoja huko IG sijawahi tena kuwashobokea malaya wa mtandaoniHii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaume
Mtetezi wao huyu hapaMwanamke awe wa mtandaoni au mtaani always ni attention seeker.
Hapendi mitandao ila ndio huyo anafanya mambo kutambia marafiki na majirani, hapendi mitandao ila ndo huyo anataka ndgu wamuone matawi, ndio wako hivyo.
Na ogopa mwanamke asiejipost, wengi huwa ni pisi mbovu wasiojiamini. Yaani dem ana picha aliyopiga 2022 mpaka leo ndio hiyo anaitumia mitandaoni, jua hamna kazi apo.
Demu mzuri anaejiamini na uzuri wake kwakweli atajipost tu, sijawahi kuona pisi kali isiyojipost ati iko busy.
Hii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaume
Mtetezi wao huyu hapa
Hatari 😂😎 Mungu ampe nguvu ashinde sasa"Mtetezi wangu yu hai."
–Ayubu 19:25
🤣🤣🤣
Yale yale ya "unatetea wanawake"Mtetezi wao huyu hapa