Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

Ni nani amekwambia kila mwanaume anafaa kuwa mume msituchoshe kukaa kusimanga wanawake utafikiri kwa wanaume hakuna takataka.
Kutwaaa wanawake this wanawake that...Dunia ya kidigital hii Kila mtu aishi apendavyooo...
 
Hii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaume
 
We unamuona saa ngapi Kama we nayeye hamko sawa tu
 
Mwanamke awe wa mtandaoni au mtaani always ni attention seeker.

Hapendi mitandao ila ndio huyo anafanya mambo kutambia marafiki na majirani, hapendi mitandao ila ndo huyo anataka ndgu wamuone matawi, ndio wako hivyo.

Na ogopa mwanamke asiejipost, wengi huwa ni pisi mbovu wasiojiamini. Yaani dem ana picha aliyopiga 2022 mpaka leo ndio hiyo anaitumia mitandaoni, jua hamna kazi apo.

Demu mzuri anaejiamini na uzuri wake kwakweli atajipost tu, sijawahi kuona pisi kali isiyojipost ati iko busy.
 
Hii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaume
Tangu nipigwe za uso na malaya mmoja huko IG sijawahi tena kuwashobokea malaya wa mtandaoni
 
Mtetezi wao huyu hapa
 
Hii ni Kama msumeno unaokata sehemu zote maana hata mwanaume anaefuata wanawake wanoonesha miili yao kwenye mitandao ya kijamii naye pia ni mgonjwa wa mitandao ya kijamii hivyo Basi sio wanawake wala sio wanaume​
Umesema vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…