Wanawake wenzangu njooni tuzungumze kidogo

Vingi ulivyolist hapa ni tabia za kujiendekeza na zinaweza kuratibika kwa mtu ambaye ameshafikia level ya maturity na utu uzima kitabia.

Huwezi kuwa serious na mahusiano kama unahisi tabia zako za hovyo zinaweza vumiliwa ila wewe usivumilie za wengine.

Version ya kiume ya tabia ulizolist hapa ni mwanaume kuwa mlevi, kuzaa nje ya mahusiano,kulala nje,kutojali mahitaji ya familia, matumizi ya hovyo ya pesa zake, na kutoheshimu mke. Je ni sahihi wanaume kusema na wao ndivyo walivyo au kujirekebisha ndio sahihi?
 
Single women hawapendi kuona wanawake wengine wanakuwa na mahusiano sababu wanajua kuwa hiyo hali inaweza waua kwa upweke ndio maana wanapambana kutwa kucha kuharibu mitazamo ya wanawake wenzao na kutoa ushauri wa kupotosha wanawake.
Huyo single mama yupi huyo?? Huo ni wivu wake yaan nione wivu ow mtu na mahusiano yake sijui anayopitia huko bado nimuonee wivu

Nonsense ....
 
Sina hofu sababu sababu I know my worth and i have set firm boundaries ata akija wa ovyo nafasi hawezi ata kupata chembe
Haya sawa. Uwe unazingatia kalenda na saa visikuache kwenye mataa. Maana mimi kama mweka hazina wa department ya psychology napenda kukwambia kuwa too much standards in you life can create a tall Wall that blocks you from seeing and getting to your future. Be careful.
 
You meAn I should lower my standards so I can get to.my future?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ