Wanunuaji TV kuweni makini huko madukani, Mchina sio mtu mzuri kabisa

Sasa wewe unaenda kusababisha wachina waweke chuma ili waongeze uzito kama walivyofanya simu zile za kichina.
 
The Monk,
mkuuu hiyo tv inatumia power cable ya namna hii

View attachment 1247896

huo waya tu naweza uvuta nikaukata hauna adapter yani kama unavyoona huu waya ndio ile tv sasa

Hizo power cable mbona za kitambo tu bingwa na hazina shida yeyote, kama huo waya unaingia moja kwa moja kwenye TV inamaana ina power supply ndani.

Niliona Samsung hadi ina warranty ya miaka miwili Made in Egypt, lakini hiyo ilikua na adapter ya nje. Ilikua nyepesi sana.

Hizo wanazoweka nembo ya Samsung kwa kubandika ni hatari sana. Bora TV iwe na jina la kichina kabisa.
 
Tabularasa sana we jamaa yaan empty set kabisa, kwahyo kwako wew kitu kikiwa chepesi ni fake, tabularasa we.
 
siongelei brand nzuri naongelea uzito

kwanza ile samsung ile logo ya samsung nilipotaka ibandua ikawa inabanduka na logo ya samsung

ina maana ile ni logo imebandikwa tu
Sasa unaongea !nimehamia upande wako je ukiwasha logo display inasomaje
 
Mzee usikariri vitu wewe,tembea na teknolojia.Kwani laptop situnatembea nazo kwenye mikoba!,Sasa tv si kuonyesha picha tu na imezidiwa na laptop yenye mambo lukuki!.Jiongeze!.
 
Acha umbea umeitiwa kazi , unachunguza na vingine
 
Kwako we we TV bora ni ile nzito?
Watu wanashindana kutengeneza TV slip uzito utatoka wapi,hiyo bracket NATO so itang'oka tu
Acha kukariri chogo zilikua nzito kutokana na teknolojia ya kizamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…