Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

Weka usahihi wako ili tupime hoja yako na yangu.
Sio sahihi kumfundisha mtoto lugha bali akikua mkubwa eti .Kama watanzania wengi tupo hivyo tutasubiri sana.Nchi haina hadi wakalimani.

Lugha ambayo si yako unajifunza ya nn? Elimu ya kweli ni ile inayomuwezesha binadamu kupambana na Changamoto za mazingira yake!mengine haya mbwembwe tu.
 
Chadema wakumbuke kwamba shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royal
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
 
Mwanasiasa wa upinzani anapopingana na samia jiandae kujibu maswali yafuatayo kutoka kwa Watanzania UMEME: Ukipingana na samia watanzania watakuuliza unataka tusipate umeme wa uhakika utokanao na Bwawa LA Nyerere yaani unataka tusipate megawati 2115 za umeme unataka tusiwavutie wawekezaji.
 
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
 
Muhimu sana , mm nilikua kati kabisa ila nilikua nauza mchicha na kupika chakula cha kuuza.
Now kazi, swimmer,mkulima, nacheza Mpira, basketball, karate Blue belt na mengine
Safi sana mkuu. Sio mtu unakuwa na Division I ya point 3 PCM alafu hujui mengine ya duniani. Sijui wivu unanisumbua kwa kuwa nilifeli form six?
 
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Samia ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia.
 
Utafiti umefanyika na unasema kuwa Rais Samia atawashinda mafisadi na wezi wa mali za umma.
 
Rais Samia amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka jana kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nichague tena samia.
Vyama vya siasa vivunje sheria vyenyewe alafu wakulaumiwa awe Rais Samia? Hapana aisee. Samia anaonewa sana na upinzani sababu amezidi kuwadekeza
 
Tanzania ya Samia inapendeza na kuwaka kila kona kwa maana huyu mama ni mwanadiplomasia mzuri sana
 
Back
Top Bottom