Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Kwa hiyo bandari kuuzwa sio hoja kwako sio!?
Lete ushahidi kuwa bandari inauzwa. Kwahiyo unawasikiliza mapoyoyo makasuku na wapiga dili na kuidharau serikali, wabunge, mawaziri, na mwanasheria mkuu wa serikali? Yaani bunge lihusike na uuzwaji wa bandari, nonsense!!! kafie mbali.
 
Unaonekana huna unachofahamu kabisaa dogo. Serikali ya CCM ndo inahusika na juenzi wa barabara, SGR, barabara za mwendo wa haraka, usambazaji umeme, zahanati, elimu, maji, pembejeo, walimu, nk tunavyoviona. Nikupe siri moja kwamba nchi yetu ni kubwa sana na inapakana na nchi nyingi kweikwei, hivyo kuilinda nchi hii utahitaji jeshi kubwa sana na vifaa vingi vya kisasa vya ulinzi. Bahati mbaya sa majeshi yetu ni majeshi ya ulinzi na usalama zaidi badala ya uzalishaji na uchumi, maana yake yanalishwa na kuvalishwa tu yakisubiri vita. Hii inamaana kuwa utahitaji fedha nyingi kuyahudumia. Nchi inahitaji fedha nyingi kujilinda na kuwahudumia watu wake. Bandari hii kwa miaka 60 sasa ni kichaka cha wezi, mission town, ukwepaji kodi, rushwa na ubadhilifu, wacha ibinafusishwe utaiona jeuli ya bandari katika kuwahudumia watu. Kama bandari chini ya DP World isipotoa fedha nyingi kwa serikali kuliko ilivyo sasa niite mbwa nimekaa palee!!! Tena nitakuwa mtu wa kwanza kuingia barabarani kuwapokonya DP World kwa nguvu watake wasitake.

Tusiaminishwe na wakora wenye maslahi binafsi eti bandari inauzwa.
 
Sasa wewe mjinga mjinga hujui kwamba 40% ya mapato ni bandari. Hayo maji unasubiri pesa ya serikali ambao 40% ya mapato ndiyo watu wanapigania! Lakini umbumbumbu wako hata hujui hilo unafikiri serikali inaokota pesa🥲
Bandari ni chanzo kizuri cha mapato ya kuiendesha nchi, sasa hivi tunapigwa sana, lakini pia hata ufasinisi wa bandari ni kama 20% tu ya ilivyotakiwa kuwa.
 
ACT wanafanya hayo au wale siyo wapinzani? Hili jambo la bandari limebebwa na wanaharakati , wanasheria na viongozi wa dini kuliko hata hao wapinzani kama hujui.
 
Usome uzi na kuelewa, hivyo vyote ulivyoandikia navijua na nikombali sana kimtazamo . I have also my own intellectual properties, stay tuned you will know them within no time and it is an insult to address me dogo am not of your age
 
ACT wanafanya hayo au wale siyo wapinzani? Hili jambo la bandari limebebwa na wanaharakati , wanasheria na viongozi wa dini kuliko hata hao wapinzani kama hujui.
Tuna watu ambao wanavunja Katiba kwa kutoiamini serikali na bunge pia. Yaani wanataka kuiaminisha dunia kuwa Rais na serikali yake na Spika na bunge lake hawana akili za kutosha, wanataka kuiuza bandari na nchi. Wanataka wananchi waichukie serikali na bunge pia kwa wakati mmoja. Huu ni uhaini sawa na uhaini mwingine, ni uchochezi wa kiwango cha juu sana katika nchi. Bunge ni chombo cha wanchi kinachowasemea wananchi kwa miaka 5 baada ya kuchaguliwa na wananchi wenyewe, kama wabunge wameuelewa mkataba na kuupitisha wewe mtu binafsi au taasisi binafsi unachoweza kufanya ni kwenda kupinga mahakamani baasi na kusubiri uwamuzi wa mahakama. Lakini kwenda kwenye vyombo vya habari na barabarani kupinga maamuzi ya serikali na bunge ni sawa na kuzuia serikali na bunge kufanyakazi zao za kikatiba, ni kuvunja katiba na uhaini pia, hakuna atakaekuvumilia na mimi naunga mkono usivumiliwe. Nenda mahakamani ukishinda sawa na ukishindwa kaa kimya basi, vinginevyo unataka nchi isitawalike kwa maslahi yako.
 
Nakashauri utafute mwanasheria wako akuoneshe vipengele vya sheria vinahusiana na uhaini halafu urudi upya.
 
Usome uzi na kuelewa, hivyo vyote ulivyoandkia navijua na nikombali sana kimtazamo . I have also my own intellectual properties, stay tuned you will know them within no time and it is an insult to address me dogo am not of your age
waawooo!! Serikali na bunge ni vyombo vya kikatiba, haki yako pekee uliyonayo kama mwananchi kwenye hili ni kwenda mahakamani kupinga au kuomba ufafanuzi, kwenda kwenye vyombo vya habari na majukwaani kupinga uwamuzi wa serikali(dola) na bunge (wananchi) sio weledi wa mambo, it is a punishable insult. Ndio maana ulimi uliteleza nikakuita dogo, not because of age, but way of thinking.

Mind you, heshima ya mtu haitokani na umri wake, kabila lake, dini yake wala cheo chake kwenye jamii, bali itatokana na aina ya huduma na namna anavyowahudumia watu wake.
 
Nakashauri utafute mwanasheria wako akuoneshe vipengele vya sheria vinahusiana na uhaini halafu urudi upya.
Kama unapinga uwamuzi wa bunge na serikali kwenye hili maana yake una uwezo wa kupinga mengine yanayopitishwa na bunge na serikali (Rais). Ipo siku utapinga pia uwamuzi wa Amirijeshi Mkuu na Bunge kupeleka majeshi yetu kwenda kumpiga adui aliyetuvamia. Una question integrity ya bunge na serikali.
 
Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objective, (conflict of interest), or fear of their leaders, (amygdala), the end result will be lack of individual decision making, Subsequently causes disaster or uncertainty inherent
 
Not making decision is also making decision, we are too late backward because of too much talking, unrealistic assumptions and fears of unknown origin. Let us move now now today today, we dot have to reinvent the wheel, privatization and PPP in a win-win model is the engine of economy worldwide. Dragging feet in decision making is the greatest enemy brave people can not tolerate.
 
Hii nchi inaendeshwa na Sheria siyo hulka yako au ya Rais. Punguza ushamba.
 
Na hilo ndiyo eneo langu la entrepreneurship ambapo, business are suffering from failure to handle the uncertainty catalyzed by individual factors and major environmental factors .(National economy and social development strategies of existing governments, political decisions, social demographic variables and technological factors)
 
Hii nchi inaendeshwa na Sheria siyo hulka yako au ya Rais. Punguza ushamba.
Mimi kazi yangu ni ndogo tu, kuwakumbusha kuwa nchi yetu inaongozwa kwa sheria, na sheria yetu kuu ni katiba. Mamlaka, kazi na majukumu ya Rais, serikali, bunge na mahakama yamo kwenye katiba. hakuna uhuru usiokuwa na mipaka na uhuru wako wewe unakomea pale wajibu na mamlaka ya serikali, bunge, mahakama, taasisi na watu wengine unapoanzia. Kuna watanzania wengi wanaopenda bandari yao ikodishwe na kuna watanzania wanaokataa bandari yao isikodishwe, lakini wale wanaopenda bandari yao ikodishwe wameshinda, na hiyo ndio kanuni ya demokrasia, wengi wape, na wachache watasikilizwa tu kule mahakamani, nje ya hapo ni nuisance tu.
 
let us toss the coin, we have nothing to lose. Bandari sio kama rasilimali ya madini au misitu kuwa inakwisha with time, bandari ni rasimali ambayo kama mwekezaji haleti faida vijana wetu watamkimbiza kama mwizi bila kujali alikujaje. Kule Ufaransa pamoja na miguvu yao yote lakini watoto wadogo wanamchachafya Macron. Sioni mimi kwanini watu wazima tuwe na hofu kwamba bandari yetu inauzwa, kusema hivi ni dharau kwa katiba, Rais, Serikali, Bunge, wananchi na vyombo vyote vya dola. Sio vibaya watu kwa nia njema kuzitaja kasoro (kama zipo) zilizomo kwenye mkataba ili kuuboresha lakini kusema bandari inauzwa, mbona zanzibar haimo, mbona ni wazanzibar tu sio sahihi. Tunafahamu kuwa bandari za Tanzania bara ndizo zenye hekaheka nyingi za kibiashara kuliko zile za Zanzibar ambazo huwa zinawadumia wazanzibar 1,000,000 tu. Kusema mbona bandari za zanzibar hazimo huo ni ukosoaji ambao hauna nia njema wenye malengo mengine ya ubaguzi na chuki ya muungano.
 
Umenena !
 
Now I understand your calibre
 
Kwa hoja hii, wewe si kavulata bali kavulana
 
Umejikita kwenye UDINI..!! Faida utagawana na nani? Mkataba unasema hivyo..??
 
Umejikita kwenye UDINI..!! Faida utagawana na nani? Mkataba unasema hivyo..??
tumia logic, tofauti kuchumbia na ndoa. Huu mkataba tunaouona ni kama uchumbia na kukubaliwa au kukataliwa, lakini kabla ya kufunga ndoa lazima kuna mambo mengine utatakiwa uyatimize kabla na baada ya ndoa. Hivi nyieee!! mnadhani serikali yooooooote, wabunge woooooooote na mwanasheria wao mkuu ni wajinga saaana kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…