Wapinzani pelekeni hoja nzito kwa wananchi, sio blaa blaa za Bandari

Wewe bilashaka ni msomi, mkataba ni nini? makubaliano ni nini? kuna tofauti gani kati ya mkataba na makubaliano? kuna aina ngapi za mikataba/makubaliano?
Mimi kuweza kujibu au kushindwa kujibu maswali haya hakuondoi ukweli kuwa bungeni hakupelekwi makubaliano. Ukishaona mjadala wa namna hii umepelekwa bungeni, ujuwe huo ni mkataba. Nimeshakupa Ibara gani kwenye katiba ya Tanzania inatamka hayo.
 
Mimi kuweza kujibu au kushindwa kujibu maswali haya hakuondoi ukweli kuwa bungeni hakupelekwi makubaliano. Ukishaona mjadala wa namna hii umepelekwa bungeni, ujuwe huo ni mkataba. Nimeshakupa Ibara gani kwenye katiba ya Tanzania inatamka hayo.
Unatia huruma kaka, makubaliano ni mkataba na mkataba ni makubaliano.
 
huna akili.
 
Wapinzani wa Tanzania hawajiongezi kabisa badala ya kuaddress issues sensitive kama hizi kodi na hali halisi ya uchumi wao wako bize na DP world. Ivi ni kweli hakuna mazuri yatakayoletwa na dp world kwamba yooote ni mabaya kwa taifa?

Upinzani acheni cheap politics....wekeza kwenye kushika dola ili yote mnayoyaona hayafai muyatengue.....sio kutafuta simple majority kwa kupotosh umma.
 
Unatia huruma kaka, makubaliano ni mkataba na mkataba ni makubaliano.
Sasa hapa ndo unazidi kutia huruma. Inakuwaje kama maana yake ndo hiyo mje mseme kuwa ULE SI MKATABA BALI NI MAKUBALIANO? Huoni kuwa mnajikontradikti wenyewe...???
 
Kweli wewe ni Kaka pembe
 
Unafikiri ni kwanini wahindi hawataki kuchangamana na sisi waafrika, wala hawataki kuoana au kuzaa na muafrika. Ni kwasababu hawataki kupata uzao wenye AKILI KIFUU KAMA HII YAKO.

Halafu hayo unayoona hayafanywi na hao wapinzani NI KWANINI USIFANYE WEWE MAANA HUJAZUILIWA KUANZISHA CHAMA AU KUWA MWANAHARAKATI.
NCHI HII INA WAJINGA WENGI SANA, YAANI UNAWALALAMIKIA WATU WASIOKUWA NA DOLA WALA MAMLAKA YOYOTE.
 
Mimi nina akili nyingi kuliko zako, uhakika huo ninao. Matatizo ya Afrika hayatokani na kuwa na vyama tawala vibovu, katiba mbaya au viongozi wabaya bali matatizo yetu kwanza yalisababishwa na babu zetu kwa wakoloni, na pili wakoloni wetu waliondoka kwa mpingo sio kiboyaboya. Viongozi wetu wamebanwa kwenye kona mbaya na wazungu. Lazima wakakope WB, IMF na kwa wakoloni. Masoko hayako hayako wazi kwa watu wote kwa usawa.

Mtu kama Dr. Slaa na wengine ni vibaraka.
 
Rejea katika maharishi ya tafiti zenye kupima IQ ya mtu. Kimsingi tafiti zinakukataa kuwa huwezi kuwa na akili hata za wastani. Mtu yeyote mwenye IQ kubwa hawezi kujisemea au kujiita kuwa ana akili nyingi. Hata tajiri hawezi kusimama kusema ni tajiri.
 
wahindi ni wajinga tu, hata wao kwa wao wanabaguana tu, wanazo high, middle na lower classes (untouchables). Waafrika wana akili nyingi sana, wamekuwa Rais na makamo Rais wa Marekani. Hivyo mfano wako wa kihindi ni wa hovyo
 
kigezo cha kuwa na akili au tajiri sio hicho unachokisema, reasoning capacity yako sio superb
 
hii nchi ina chawa wa ajabu sana
 
hii nchi ina chawa wa ajabu sana
kwaakili yako nyepesi, hivi kuna mtu anaweza kufanikiwa kuuza kipande chetu cha ardhi milele daima dumu? Ukweli wanaopinga ni ama wametumwa, wanatumiwa au ni mazuzu tu wenyewe.
 
Hebu wapinzani wa Tz wajaribu hii waone idadi ya casualties itakuwa ngapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…