Wapinzani wa Rais Samia waanza kutumia silaha ya Uzushi na uongo kumshambulia baada ya njia zao kushindwa.

Ndugu zangu Watanzania,

Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.

Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.

Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.

Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

what goes around comes around kama alitwaa madaraka kama ulivyoandika basi na yeye wajanja wenzake watamtwaa pia ni swala la muda tu …
 
Mbwashambwa andaa shamba ili kuanzia 2026 uwe na shughuli nyingine ya kufanya hii ya sasa hautakuwa nayo tena kwasababu huyo bibi lazima tumfurushe 2025
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais.kwa ufupi ni Kuwa tunaendelea kutamba na kudunda na Rais Samia Suluhu Hasssan hadi 2030.
 
Wewe si ndio walewale waongo na wazushi? Unaweza vipi zusha habari ya uongo pasipo ushahidi halafu useme mtu akanushe kwa vithibitisho? Huoni huo unakuwa ni uwendawazimu na ukichaa?
Umeomba ushahidi ukanyimwa ndio ukafikia conclusion kwamba ni uzushi na uongo kwa Samia? Sasa hili zaidi liko kwenye ukweli kwamba hakuna mtu mwenye akili atakutumia ushahidi vuvuzela kama wewe, hata ukiomba, lakini hilo halimaanishi kwamba ushahidi haupo.
 
Uwezo wa mzalendo mpina ni mkubwa sana kuzidi wabunge wengine wote wa ccm pamoja na mwenyekiti wao ambaye anazidi kuifisadi tu Nchi.
 
Kwamba Samia anahitaji utetezi wako ?; Huo muda ungeutumia kumtetea mlipa kodi na mwananchi ambaye hapati value for his/her hard earned cash ningekuona wa maana
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.

Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.

Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.

Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.

Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.

Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Zee jinga linaloishi. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Umeomba ushahidi ukanyimwa ndio ukafikia conclusion kwamba ni uzushi na uongo kwa Samia? Sasa hili zaidi liko kwenye ukweli kwamba hakuna mtu mwenye akili atakutumia ushahidi vuvuzela kama wewe, hata ukiomba, lakini hilo halimaanishi kwamba ushahidi haupo.
Kazi ya uzushi na uongo mnayofanya kwa sasa inaendelea kuwaangamiza wenyewe.ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania.kwa kuwa wameshatambua mia yenye ovu mliyonayo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.

Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.

Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.

Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.

Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.

Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.

Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
nadhani ni muhimu zaidi,
tena kwa haraka sana, wakamuondoa huyo chambo wa kutunga uzushi na uongo dhidi ya serikali sikivu ya CCM na waandamizi wake, alie jaa chuki binafsi na wivu baada ya kutoswa kwenye baraza la mawaziri kwasabb ya ujuaji, jeuri na kiburi chake...

wambandue CCM, ili akaendelee kurubuniwa kwa kulambishwa sukari ya makampuni ya sukari ili akomae kusema uongo kua ni kweli kama anavyofanya sasa 🐒

kirusi hiki cha kubuni usushi na uongo kutoka Kisesa, kikibaduliwa tu, mambo yatakua bam bam tu🐒
 
1719028499556.png

Big Lice at it's best!
 
Back
Top Bottom