Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Huo ndio UKWELIComments reserved
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndio UKWELIComments reserved
Nilishasema kuwa wewe akili yako ina matatizo sanaWakati mwingine huwa natafakari sana na akili inaniambia Huna Nia njema na huyo unayemsifia!!
Ni kweli wewe ni MPUMBAVU lakini una kitu kinatafakarisha!!
Nadhani Kwa namna mama anavyopopolewa Kila unapoleta mada zako, utakuwa umefanikiwa sana. Mpaka wakustukie utakuwa umemsaidia kumchafua sana
Wee utakua umelipwa bei gani. Yaani unasifia kitu hakina sifa. Acheni kumzuga mama wa watu. Umakamu wenyewe aliwekwa kama mpango kuwatoa akina mama kutojiamini bahati katiba ikampa urais. Hata itikadi ya ccm ameshindwa kuzingatia. Mwenyewe kaangukia kwa wahuni nchi anaiendesha kuwapa manufaa wachache tena anagawa mali asili za nchi kwa wageni kwa kuaminishwa ndio njia sahihi kuendeleza nchi. Haki na usawa nguzo za CCM kapiga teke. Mwenyewe anajua tunasubiri tu atoa mchango wake nchi tupate kiongozi bora sio bora kiongozi.Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.
Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.
Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.
Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona umeishia kupiga porojo zako na kuonyesha kile nilichokizungumza kwenye andiko langu. Wewe ndio lile kundi nililolizungumzia hapaWee utakua umelipwa bei gani. Yaani unasifia kitu hakina sifa. Acheni kumzuga mama wa watu. Umakamu wenyewe aliwekwa kama mpango kuwatoa akina mama kutojiamini bahati katiba ikampa urais. Hata itikadi ya ccm ameshindwa kuzingatia. Mwenyewe kaangukia kwa wahuni nchi anaiendesha kuwapa manufaa wachache tena anagawa mali asili za nchi kwa wageni kwa kuaminishwa ndio njia sahihi kuendeleza nchi. Haki na usawa nguzo za CCM kapiga teke. Mwenyewe anajua tunasubiri tu atoa mchango wake nchi tupate kiongozi bora sio bora kiongozi.
Weka ushahidi wa huo ujinga unaozungumzaKuuza Ardhi ya Tanganyika kwa waarabu ni uzishi?
Kuitwa bibi mwakotozo kwa sababu ya kodi lukuki ni uzushi?
Kuuza bandari zetu kwa waarabu ni uzushi?
Jifunze history ya mzee Mabom aliekua agent wa manamba kutoka ukada mwanza mpaka kigoma , alikufa kifo gani ,kama sio cha haibu mtu unaoza uku umelala , alikua chawa mkubwa enzi za mkololoni kuliko nyie machawa wa sasa ,then utakuja nishukuru badae , mjinga sana we nduguNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni mtu anayeishi mbele ya wakati na muda na kiongozi Mwenye akili na upeo wa hali ya juu sana,ni mtu Mwenye jicho la tatu nje na haya mawili ya kibinadamu.ni kiongozi aliyejaliwa macho ya Rohoni yenye uwezo wa kuona asipoweza kuona Mwenye macho ya kawaida.
Ni kiongozi mwenye ufunuo wa kiroho wa kutambua masuala mbalimbali.ndio maana huwezi ukaona akikurupuka wala kuhemuka wala kuzungumza jambo hadharani bila staha. Ni mtu mtulivu,makini na mwenye kuchunga ulimi wake kabla na wakati wa kuzungumza.huwezi ukaona akijikwaa hovyo ulimi wake na kuleta taharuki au mgawanyiko ndani ya Taifa.
Alipokuwa anaingia na kutwaa madaraka ya urais kuna watu hawakuamini mioyoni mwao kama anaweza kuongoza Taifa letu kwa hata mwezi mmoja tu.walitamani kama wangekuwa na mamlaka au uwezo basi wangemuweka pembeni na kumuacha na Umakamu wake na wao kuweka mtu wao.waliona ni kama hastahili wala hafai wala hana huo uwezo wala hakuandaliwa kwa nafasi hiyo.
Lakini Mungu katika ulimwengu wake wa kiroho tayari alikuwa amemuandikia kwa wino usiofutika kuwa Mama Samia atainuliwa na kuwa Rais wa Taifa letu.Ndio maana pamoja na watu kuleta habari za ubaguzi kwa misingi ya jinsia na ukanda. Kumzushia mambo ya uongo, uchonganishi,fitina na chuki binafsi.bado Rais wetu ameendelea kuaminika ,kuungwa mkono ,kupendwa na kukubalika sana machoni pa watanzania ,huku Taifa likiendelea kutamalaki kwa amani na utulivu mkubwa sana.
Jambo ambalo linawaumiza sana waliokuwa hawana Imani na Rais wetu na waliokuwa wakitamani kutokuona akiwa Rais wetu.Lakini kubwa na linalowapa homa ni kuona namna watanzania wanavyohitaji kwa kiu kubwa sana kuona Mama huyu mzalendo na kipenzi cha watanzania akiendelea na muhula wa pili kama Rais.
Sasa ili kumkwamisha ,kumkatisha tamaa,kumchonganisha na wananchi,kumvunja moyo,kumchafua na kumpunguza kasi .sasa wabaya na wapinzani wa Mama yetu wameona watumie silaha yao ya mwisho ambayo nayo imeonekana kutokuwa na nguvu kabisa, ya kuzusha mambo ya uongo, uchonganishi na maneno ya fitina na chuki binafsi.na ndio mwisho wao mbaya sana utakaowapoteza kabisa katika ramani ,kwa sababu watanzania wameshatambua njia hiyo ya kumchafua Rais wetu mpendwa. Hakuna silaha ya aina yoyote ile itakayoinuka na kufanikiwa mbele ya Rais wetu mpendwa.kila kitu kitashindwa na mwisho Rais wetu itaendelea kuwa shujaa wetu na jasiri Muongoza Njia.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mtaendelea kuumia na kuteseka sana na mafanikio makubwa yanayoendelea kuletwa na Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.Jifunze history ya mzee Mabom aliekua agent wa manamba kutoka ukada mwanza mpaka kigoma , alikufa kifo gani ,kama sio cha haibu mtu unaoza uku umelala , alikua chawa mkubwa enzi za mkololoni kuliko nyie machawa wa sasa ,then utakuja nishukuru badae , mjinga sana we ndugu
Wewe mwenyewe umefanya maendeleo yapi katika viunga vinavyo kuzunguka, mie naamini wazazi ambao pia ni wazazi wangu wangu wamefanya makubwa ikowa ni pamoja mzaa mtoto ambae ni wewe na wengine ,ila sasa kwa nini unakengeuka.Mtaendelea kuumia na kuteseka sana na mafanikio makubwa yanayoendelea kuletwa na Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan.